Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) leo imezindua Rasmi Bodi mpya ya Ushauri.Uzinduzi huo ulifunguliwa rasmi na Mh. Waziri wa Katiba na Sheria Ndugu Mathias Chikawe (kushoto) aliyemteua Mwenkiti mpya wa Bodi hiyo Ndugu Vincet Mbwana Mrisho Iliyesimama). Sambamba na hilo RITA pia imezindua rasmi mkataba wa Huduma kwa Mteja Wadau wa RITA katika uzinduzi huo
Sehemu ya wadau wa RITA katika sherehe hizo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...