David Seamen akiwa na waongoza watalii wa kampuni ya Zara Adventure mlima Kilimanjaro walikopanda Mei 19 kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kituo cha watoto cha Donna luis Hospice ch a nchi Uingereza.
Kocha Tony Pulis akimkabidhi mpira mwandishi wahabari wa Globu ya Jamii na mkoa wa Kilimanjaro Dixon Busagaga baada ya kuutia saini.
Tony Pulis akitoa zawadi ya kikombe kwa nahodha wa timu ya Zara Tours, John. Zara Tours ndio mabingwa wa mashindano ya kampuni za utalii mkoa wa Kilimanjaro.
David Seamen akionyesha ishara ya ushindi mara baada ya kurejea salama kutoka mlima Kilimanjaro alikopanda na wenzake 13.
Kocha Pulis akionyesha jezi ya timu ya Zara Tours iliyosainiwa na wachezaji wa timu hiyo aliyopewa kama kumbukumbu ya kuja nchini kupanda mlima.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2010

    Hana hamu na Ronaldinho Assis de Moreira Gaucho!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2010

    Aminia kamanda Chombo kama kawaida mdogo mdogo mpaka summit na kinachoma siyo kitoto!Big up sana kwa Guides wote kili pamoja na wagumu(Crew's) wote pamoja tunawakilisha na mdogo mdogo tutafika tu!

    Mdau-UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...