Mkurugenzi mkuu wa Vodacom Tanzania Bw. Dietlof Mare na mai waifu wake pamoja na Mwamvita Makamba walikuwepo
ankal na wadau

mpiga picha mkuu wa Globu ya Jamii Francis Dande na wadau wa jarida la Kitangoma
Mdau wa Delloite (pili shoto) akiwa na maasha wa shughuli
wadau wa kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM toka shoto Gea Habib, Zamaradi Mketema na Dina Marios ndani ya nyumba
Papaa Saidi Mabera wa Msondo Ngoma akiwa na Msafiri Diouf wa Twanga pepeta na mdau
Prezidaa wa FM Academia Nyoshi el Sadaat (shoto) na Jose Mara wakiwakilisha
Wadau wa burudani na michezo walikuwepo
Hasheem Thabeet na mama yake mzazi na ankal wao
ankal akohojiwa na TBC-1 kwa nini ze fulanazzzz bado iko mwilini. naye anajibu kwamba ile ya mnada ilikuwa siku ya wajinga, hivyo ze fulanazzzz bado iko pale pale..










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2010

    ankal, hiyo fulana unayo moja tu au ziko nyingi zenye kufanana? Nakuona ukerewe muda mfupi uliopita ukiwa na zefuklanas na mara hii uko bongo na ze sane fulanas? Mhh, bado kile kijasho kipo mwilini au?>

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2010

    Ahhaaa kumbe waliosema wale wenye office yenye tulaptop tu hawana hela walikua wakweli...ukatoa fulana na kusema wale wameinunua kumbe ilikua danganya toto ....hahhahhaha....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2010

    Sasa jamani ebu tazameni hiyo shoo ya huyo banana hivi ata kama ndo mambo ya style mupya tutafika kweli mimi apo nilizania wakati wanaingia walitaka tuonesha mashindano ya kukimbiza magari fomula one ama nilijua apa kuna mashindano ya pikipiki daaah......ni noma sana ata kama ubunifu sasa hii sooo sana....vijana hao nauhakika baada ya iyo shoo wameenda kukandwa wewe si onaona mwenyewe walovyo swagaaa apo......pia ankali Tuambie kuhusu ze Fulanaz maana nilikuona maeneo unakula nguna nikakuona nayo tena kwenye ze killz sasa inakuaje tunangoja apa au majina umesha yapotezea maana apa twangoja bila majibu,,,,.......poa kazi njema libeneke si la kitoto tutaandamana kama hatupati ze fulanaz

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2010

    nasikia kizunguzungu bin kihindihindi kumbe ze fulanaz bado ipo?? huh!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2010

    jamani hio ze fulana kwa misele yaani no comment mchana ilikuwa inakula ugali usiku kwenye tuzo kwi kwi kwi haifuliwi,Achu mchujuko pole nakuonea huruma japo umetoka shavu,utazoea tu bongo ndo nyumbani

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2010

    Ankal,
    Tunajua kwamba ze FULANAZZZ ni alama ya kibiashara (Trademark) ya globu ya jamii, na kimsingi haitakiwi kukosekana popote pale ambapo globu ya jamii inawakilishwa (inauza nyago). Big up sana.
    OMBI:
    Mimi mdau wako wa Mwenge nataka tukutane live kubadilishana mawazo haya na yale, nitakupata wapi?
    Maelekezo pls!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2010

    kaka michuzi tunaona huyuwekee at list video tuone siku hiyo ya music awards hiliwaje !!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2010

    Ankal, jana bwana nilienda club na DJ akakumbushia enzi kidogo kwa kupiga "murder she wrote" wa Chaka Demus and Pliers, akaweka na video yake pia. Then nikawa namfananisha Chaka Demus na mtu ambaye namfahamu, ila picha ikawa haiji kichwani ni nani hasa, nikahangaika wee kukumbuka, mara ghafla kumbe ni wewe!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2010

    ooooooo hellll NOOOOOOOO!!!!!!!!!!
    ze fulana bado ipo!!!!!!!????????? si ilinadiwa jamani????? Yani nimecheka kama kichaa baada ya kuiona hiyo ze fulanaz, hahahahahahahahahahah,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2010

    Kumbe huyu dada mwamvita ni mulato? Si huyu namuona anatoaga madawati na misaada mbalimbali? Sikujua mimi..she looks very good...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...