Familia ya hayati Alhaj Sheikh Juma Tagalile na Maneno Juma Sanga Nyanzowa wa Mshindo Iringa, tunatoa shukrani a dhati kwa ndugu, jamaa, marafiki na mjirani kwa misaada yao ya kiroho hali na mali wakati wa kumuuguza, kifo na baadaye mazishi ya mpendwa wetu Hajjat MARIA JUMA TAGLILE ambaye alifariki katika Hospitali ya Muhimbili (MOI) tarehe 13/Mchi 2010 na kuzikwa tarehe 14 Machi 2010 kwenye makaburi ya Kisutu.

tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa Dr. Bashiri Nyangassa, Dr Kombe wa Ocean Road, Dr Kaushik wa Hindu Mandal, Dr Rwakatare na manesi wa MED-ED CLINIC, madaktari wa Agakhan, Madaktari na manesi wa Tumaini, uongozi na wafanyakazi wa TRA, BOT na EWURA.

Wana familia wanasema sio rahisi kumkumbuka kila mmoja na kumtaja jina lake ila kwa yote mliofanya mola atkulipeni.

Khityma (AROBAINI) itafanyika kesho Jumamosi tarehe 22 Mei 2010 Mbezi Beach-Kipanga Street karibu na kituo cha mabasi cha Samaki kuanzia saaa 4 asubuhi karibuni sana.

INNA LILAH WA INNA ILLAHI RAJIUUN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2010

    Tumezipokea shukran zenu, Khadija tutaonana kesho inshallah.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2010

    Hakuna kitakachobaki baki yallah, wote tumo safarini.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2010

    Dada zangu wote pamoja na Kaka zangu poleni sana kwa kuondokewa na Mama yenu kipenzi.
    Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amen.
    Mama R. Mfuko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...