Supa staa Steve Kanumba the Great anaibuka na Wema Sepetu katika filami mpya ya White Maria inayotarajiwa kutoka mwezi ujao. kaa mkao wa kula. mengine BOFYA HAPA
Supa staa Steve Kanumba the Great anaibuka na Wema Sepetu katika filami mpya ya White Maria inayotarajiwa kutoka mwezi ujao. kaa mkao wa kula. mengine BOFYA HAPA

Huyu kila mwezi anatoa movie mpya...quality ipo kweli au?
ReplyDeleteHuyu jamaa Steve Kanumba anatoa movie mpya kila mwezi?Anafuata ushauri wa nani wa kitaalaum unaomuambia awe anatoa movie kila mwezi?Je hajui kuwa kwenye movie kuna kitu kinaitwa"supply economy"ambapo kama actor anatoa movie kila mwezi waonaji watamchoka!
ReplyDeleteBytheway,huyu jamaa anae kweli producer wake?Ndiye anayemshauri awe anatoa movie kila mwezi?
Kanumba kaa na wtaalam wa movie wakueleze ni nani gani supply and demand ilivyo na nguvu kenye movie;ukiwa unatoa movie kila mwezi watazamaji watakuchoka na hawatanunua tena,actors kama Denzel Washington na wenzao wanatoa movie si zaidi ya 2 kwa mwaka kwa sababu ya "supply-demand"
maprodyuza wa bongo punguzeni kutengengeza vitu kwa kuijga,hayo macho yanaonekana kuwa yanafanana sana na yale ya watu wa kwenye avatar tujitahidi tuwe wabunifu,mnapoteza radha ya filamu za kibongo jamani...
ReplyDeleteUnatoa Move kila mwezi ninamashaka ni MOVE au maingizo.
ReplyDeletemh nshachoka sasa kununua izi muvi,
ReplyDeletekila mwezi au miezi 3 muvi????
aaaaaaaaaaaggrrrrr!
Utashangaa utakapoambiwa maana ya White Maria ni Maria mweupe, ie light skinned Maria
ReplyDeletehee Wema na Kanumba tena! kesi yao vipi ina maana wamepatana tena au kanumba amemsamehe, mh hii ndio bongo movie kama big G. au biscuit.
ReplyDeleteHata wapopo ndo zao kila mwezi wanatoa vitu kama singo za Bongo fleva vile kwa maigizo powa tu hata cost zake sio kubwa kwahio wacha wapete sio movie za mamtoni zinachukua miaka kumaliza hii michezo siku mbili tu kesha tunga na kesha maliza kushuti hahah
ReplyDeletendo mana mnazidi kusota au huo ndo ubunifu?? ni sifa zakipumbavu mnatafuta ni ili uonekane umecheza maigizo mengi ulipoenda hollywood hukujifunza hata kidogo wenzenu wanavyofanya?? ungesubiri kwanza luvly gamble ikamue sokoni hii ya sasa itadoda madukani punguza tamaa too much is harmful!!
ReplyDeleteKuna movie (sikumbuki jina) ilikuwa inaonyeshwa jana katika channel ya Africa Magic (haimuhusu Kanumba), ilionyesha, director, producer, camera man, editor na make up (sikumbuki na roles nyingine mbili zaidi) (waliandika mack up, sijui editor kama alifanya homework yake), zote ziliandikwa jina la mtu mmoja! Ama nilichoka, kutakuwa na jipya kweli au ndio kuokoa gharama?
ReplyDeleteTUNABIDI KUWAPONGEZA KWA KAZI MZURI
ReplyDeleteKupata waigiza muvi kama Kanumba na wenzake ambao wanajituma kutupa starehe kila mwezi bila ya kujali mapato makubwa ya kutajirika kwa kutengeneza "movie" kila baada ya mwaka kama wafanyavyo hollywood/bollywood inatubidi tuwape shukrani na hongera kwa kazi mzuri,kihistoria tulitokea katika miaka mingi iliyopita tulikuwa katika mabanda ya kuangalia "maigizo/movie" kila mwishoni mwa wiki na tulilipia kuingia,nasi tunaopenda starehe za "movie" kila mwishoni mwa mwezi tunastahiri kuwashukuru wahusika wote kwa kutuletea starehe za movie/viigizo kila mwezi,tofauti iliyokuwepo zamani na sasa ni maendeleo kwa sasa kila kitu kipo katika mitandao,DVD na CD viigizo vya movie na kwa usanii wa mziki.
sisi watanzania tumezoea kulalamika badala ya kupongeza na kuwashukuru wanaojituma,tabia zetu hazitotupeleka mbali katika maendeleo ya kujenga jamii ya watanzania.
Mickey Jones
Denmark
alijisemea joti kuwa hizi ni movie phones (smtimes wanaweza hata kurekodia camera ya simu!) Unakuta MAIN ACTOR, PRODUCER, SCRIPT WRITER, DIRECTOR NI MTU MMOJA TENA HAO MNAO WAITA MA'SUPA' STAA NDIO ZAO
ReplyDeleteNashukuru sana kutoitwa mtanzania kwasasa.Yani watanzania ni watu wakulalamiiiika nakuchambuana tu,mala hili! mala hili! sasa kama yeye ana uwezo wakutoa hata 10 kwa mwezi nazikatoka nakumuingizia kipato kuna tatizo gani?sokoni hata kama kuna movie kumi mpya aliye na hela atachukua zote 10,,asie na hela naye atachukua zitakazolingana na pochi yake itakavyoruhusu,,sio kuchambuana tuu! mbona USA kila siku lazima usikie toleo la mziki mpya au singel mpya?Yule anaesubili myaka anaogopa matumizi tuu sio eti wateja wake wamsahau kidogo arudi wakiwa na hamu naye.Kanumba na Wema chapeni kazi hata mbili kwa mwezi sio mbaya,,mkimbie na siku,kwani leo ni nyinyi kesho wengine.
ReplyDelete