MAREHEMU ELISAELI PETER SWAI
ENZI ZA UHAI WAKE

(LEO TUNAKUAGA KWA ZABURI 119:89-92, ZABURI 150:1-6, ISAYA 41:10,13 )

Familia ya Mzee swai wa Kinondoni, Dar Es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Mr Elisaeli Peter Swai kilichotokea jana tarehe 11/05/2010 katika hospitali ya Doctor Mvungi kinondoni.Enzi za uhai wake Marehemu aliwahi kufanya kazi Shirika la Bima (NIC) Tanzania, Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake kinondoni Mtaa wa Karafuu karibu na nyumba ya mwenye mabasi ya Siri yako . Wakiwa wanawasubiri watoto wa marehemu
1.KILABA PETER SWAI – Kutoka ARIZONA , MAREKANI
2.HAPPY ELISAELI SWAI – Kutoka HOLLAND
3.HELLEN MAMMY E.SWAI (MRS HELLEN SEKUBA)– Kutoka UK
4.MKWE WA MAREHEMU MR RICHARD SHEM SEKUBA – UK +447775787256
5.MDOGO WA MAREHEMU STELLAH ELISAELI SWAI - +13168471757

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA

KWA MAWASILIANO ZAIDI YA RATIBA YA MAZISHI WASILIANA NA
Ludovick Kileo - +255787554554, +255652509316
Mzee Ruben Swai - +255784614050
Gerald Swai - +255755548707

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...