Meneja Matukio wa bia ya Kilimanjaro (TBL),Zozimick Kimati akimkabidhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani,Bernard Nzungu kiasi cha Tsh. mil 1.5 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Kili Taifa Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mapema mwezi huu.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani,Bernard Nzungu akikabidhia fedha hizo kwa Katibu Mkuu (COREFA),Riziki Majalla mara baada ya kupokea toka kwa meneja matukio wa bia ya Kilimanjaro,Zozimick Kimati katika hafla fupi iliyofanyika leo kwenye ofisi za mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Katibu Mkuu - COREFA,ndugu Riziki Majalla (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Pwani Heroes na pia Katibu Mkuu wa Kamati ya Mashindano - COREFA,ndugu Juma Mkambi wakimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani (hayupo pichani) wakati akitoa shukrani zake kwa kampuni ya bia TBL.
baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika makabidhiano hayo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani,ndugu Bernard Nzungu akitoa shukrani kwa wadhamini wakuu wa mashindano ya Kili Taifa Cup mara baada ya kupokea fedha kwa ajili ya maandalino hayo.katika hafla fupi iliyofanyika ofisini kwake Kibaha Mkoani Pwani leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...