Wagombea nafasi ya Uenyekiti katika klabu ya Simba,Hassan Hassanoo (kulia) na Ismail Aden Rage wakipiga kura leo.
Wagombea nafasi ya Uenyekiti katika klabu ya Simba,Hassan Hassanoo (kushoto) akiteta jambo na mgombea mwenzake katika nafasi hiyo,Ismail Aden Rage
Wadau na wapenzi wa Klabu ya Simba wakipiga kura ya kuchagua viongozi wapya leo
Askari Polisi wakihakikisha usalama wa kutosha katika uchaguzi unaoendelea kufanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbey.
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika Klabu ya Simba,Godfrey Nyange (kulia) akisalimiana na mmoja wa wadau wa klabu hiyo
Wamnafunzi wa shule ya sekondari vituka wakisimamia masanduku ya kupiga kura
Ibrahimu Masoud 'Maestor' akiongea katika uchaguzi huo
Boniface Wambura akimwaga sera zake karika uchaguzi wa viongozi wapya wa klabu ya simba unaendelea kufanyika hivi sasa katika bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay maeneo ya masaki huku ulinzi ukiwa mkali kuhakikisha hali ya usalama inakuwepo.




HUYO JAMAA MKONO WA KULIA CHINI MWISHO ANATAKA KUNI MEZA MICHUZI!!
ReplyDeleteNi karibu Yanga iwape somo jipya Simba, maana zao ni kuiga. Kampeni za uchaguzi zitakuwa kwenye vyombo vya habari na kura zitapigwa na wanachama nchi nzima kwa utaratibu maalum. Mpo hapo? Najua mnaona nyota nyota, subirini kidogo muone halafu muige.
ReplyDeleteChances are many Mithupu ataibania na hii, ila ni haki yake (glob ni yake ati).
Sasa tuanze3 kazi ya kulisaka kombe la klabu bingwa afrika naamin yawezekana kama tukiwa na nia
ReplyDelete