KIKUNDI CHA UWF WAKISHIRIKI KWENYE MATEMBEZI YA HIARI YALIYO ANDALIWA NA (TBCF).
UNITY OF WOMEN (UWF) WANAPENDA KUWAPONGEZA TANZANIA BREAST CANCER FOUNDATION (TBCF), KWA KUANDAA MATEMBEZI hayo YA HIARI YALIYOFANYIKA TAREHE WIKIENDI ILOPITA KWA AJILI YA KUCHANGIA MFUKO WA MRADI WAO AMBAO UNAELIMISHA NA KUWA COUNSEL WANAWAKE AMBAO WAMEGUNDULIWA KUWA WANA SARATANI YA MATITI.
BAADHI YA VIONGOZI WA UWF BAADA YA MATEMBEZI
UWF HUTENDA JAMBON HUKU WAKITABASAMU KWA FURAHA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. PETER NALITOLELAMay 05, 2010

    HIS GREATNESS MICHUZI OF TANZANIAN BLOGS SALAAAM AILEKUM, MY BEAUTIFULLY QUISTIONS IS THAT WHY DID THE WOMEN WALK IN ORDER THE HELPING IN CANSER OF BREAST(SALATANI). I PREFER SHOULD EDUCATING PEOPLE INDIVIDUALISM ALONE WAS HELPING THE VICTIMS INSTED IN HELPING HER WALKING THE WHOLE STREETS THERE AFTER. THIS IS EXERCISE IS NO GOOD NOR HARM TO THE VICTIMS OF BREAST CANCER OR SO CALLED IN KIKSWAHILI SALATANI. IM VERY PLEASES WITH WALKING IN PERSPECTIVES OF REDUCING HEAVY WEIGHTS AND INCREASE APPETITE AT NIGHTS LONG. THANK EVERYBODY FOR MY COMMENTS.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2010

    Peter N hapo juu hivi kwa nini usingeliandika KISWAHILI tuu kwa kukusaidia jamani ? BUT well done for trying at least ....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2010

    Wewe Nalitolela, je ni ubongo wako hauna break au ni kinywa chako kisicho na break? Maana sijakupata ulitaka kuongea nini!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2010

    Jamani eeh Nalitolela ni mdau mkubwa wa globu ya jamii na ni mataalamu kutoka kile chuo kikuu cha Muzumbe university cha kule Mulogolo. Sasa nyie ambao hamumuelewi mnashangaza kidogo,yani-
    1. Either hamjui kiswahili vizuri
    2. Hamjui kiinglish ipasavo
    3. Or hamjui lugha zote 2.

    Kwasababu Nalitolela ni mtaalamu wa uchumi from Muzumbe,huandika comments zake kisomi zaidi na kumlazimu msomaji kuumiza kichwa kidogo ili kujua anamaanisha nini.
    Ni hayo tu kwa leo.

    Mdau
    Mashariki ya mbali.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2010

    they said laugh louder and you live longer, honestly! stress level: LOW

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...