Naitwa ibra na naishi Dsm, ni Mfanyakazi katika shirika binafsi,ni mpenzi sana wa blog yako na kwakweli nimevutiwa nayo,Ombi langu kwako ni kwamba naomba unirushie hili tangazo langu kwan nimeona watu wengi wako interested na blog yako na wako siriaz na vitu uvitoavyo wewe.
Kwa mawasiliano apige No 0713 241030
Kuna shamba nauza liko Bunju "A"zaid ya Ekali 10 na tumekata na kupima vipande vipande so kwa mwenye kuhitaji viwanja vya kujenga ni sehemu tulivu na yenye mandhari mazuri.
Kwa mawasiliano apige No 0713 241030
Kuna shamba nauza liko Bunju "A"zaid ya Ekali 10 na tumekata na kupima vipande vipande so kwa mwenye kuhitaji viwanja vya kujenga ni sehemu tulivu na yenye mandhari mazuri.
aulize ndugu ibra ama 0712145237
Abdalla aka Kide
Bei Ya kila kipande chenye ukubwa hatua za miguu ishini upana na ishirini urefu ni 5 milion na itapungua kidogo
vipo viwanja 5,nitashukuru kwa msaada wako utakaonipa na pia tutasaidiana pindi mambo yatakapokuwa fresh!
Kazi njema
Bei Ya kila kipande chenye ukubwa hatua za miguu ishini upana na ishirini urefu ni 5 milion na itapungua kidogo
vipo viwanja 5,nitashukuru kwa msaada wako utakaonipa na pia tutasaidiana pindi mambo yatakapokuwa fresh!
Kazi njema
Mdau Ibra
Kwa kuwasaidia tu wadau, Ekari moja imegawanywa katika viwanja 12.25. Ukitaka uwe na 'low density' nunua ekari kumi zote T.Sh. (12.25 x 10 x 5M)= millioni612.5
ReplyDeleteHongera Mdau kwa kuuza kwa bei ya madafu na si US$.
Hivi wewe na akili zako unamwambia mtu kwamba shamba lina ukubwa wa ekaLI KUMU halafu hapo hapo unafanya makosa ya jinai: ukichukua miguu au hatua 20 za kiwanja kimoja kama ulivyosema mara viwanja 5 unavyodai viko kwenye hilo SHAMBA unapata ekari KUMI kweli - unajua ekari moja ni nin?????. Nenda ukamwibie mkeo au babako.
ReplyDeleteMhhh..........SINA UHAKIKA KAMA BEI ISHAFIKA HUKO....LOL
ReplyDeleteinaelekea watu bongo kwelimnahela,tena labda za kuokota!yaani hatua ishiri kwa ishirini ytayari 5M tsh?hahaha haya bwana,tutafika. maana kama ni nyumba kujenga hapo hata space ya watoto kucheza hakuna wala sehemu ya kutolea drainage system pia sidhani kama inapatikana.
ReplyDeletemaana kwa haraka tu ili space iwepo inamaana ununue viwanja 3,kwa 15M. sasa kwa mtaji wa kipato cha mtanzania mjengaji mtarajiwa ni atunze fedha miaka mimgapi ili aweze kununua kiwanja tu,hapo hatujazungumzia hata senti moja ya kuanza kujenga.
Mkuu nina swali,
ReplyDeleteHivi viwanja vina Offer au Hati?
Umesema umepima; hapa una maana umepima mwenyewe kwa miguu au umefanya kitaalamu na kupatiwa ukubwa wa kila kiwanja katika Mita za Eneo?
Kwanini unauza viwanja vidogo vidogo namna hii tena kwa bei kubwa? unataka kutengeneza squater nyingine Bunju? Utampata nani atakaye nunu hivyo vijiwanja kwa 5m???
ReplyDeletewe muuza viwanja, hebu fanya mambo ki taalamu, unatuambia umepima hatua za miguu ishirini, sisi tunafahamu hatua za miguu yako zinaurefu gani? bse hatua za mheshimiwa benjamin mkapa na bwana hasheem thabit hazifanani.
ReplyDeleteNyumba inapangishwa. Kibunguni karibu na Moshi baa.
ReplyDeleteina: Vyumba 3 vya kulala, sitting room na dining room, jiko na stoo yake. Maji yapo, uwanja mkubwa ndani ya fensi.
Mawasiliano: 0763285441/0784565684/ 0733546618
NB: WANAFUNZI WA Kampala Internationa University Saizi yenu...jipange kundi la watu kama 8.
Huhh yaani hivi viwanja umevipima wewe mwenyewe au? Vimepiwa na Mugenzi mwenyewe au? Je viko kwenye huo mradi wa viwanja ishirini elfu?. Kama umevipima wewe mwenyewe na sio vya mradi wa viwanja elfu ishirini iweje uuze kipande kwa 5M, kwa lini hasa? Au labda mimi sijaelewa kuna nyumba tayari ndani ya kiwanda ukitoa 5M ni kuamia tu? Watu wakiona wadau humu kwenye hii blog wanajua kila mtu ni fisadi, hell No..!!!!!
ReplyDeletewatu wa humu wana maudhi , kama nyie hamtaki hivyo viwanja ya nini kumharibia mwenzenu biashara yake ?? nyie msikini wa roho zenu , mna roho mbaya , kama huna la kusema si unyamaze kuliko kujifanya kujua kwingi kumbe mbumbumbu ulimwengu uko huku , tena nyie wadau mnaoishi ughaibuni hivi kwanini siku zote mnajifanya ninyi mnajua saaaana kuliko watu wa huku tz ? au kwa vile mko ulaya ? masikini nyie tena mnanyanyaswa na wazungu lakini mmo tu mmengangania huko , kazi kudharau tz , oohh drainage oooh kiwanja cha kuchezea watoto , nyie mlivokuwa wadogo huku tz si ndo mlikuwa mnakunya uwani mnachimba shimo na kufukia ? leo hii unaijua drainage sysytem ? acheni hizo kuharibia wenzenu biashara , kama unaona kitu kinauzwa na hukitaki kaa kimya , kuliko kuosha mdomo wako mchafu huo ..
ReplyDeletemdau
Tanzania oyeee
ughaibuni ziiiiiiii
Mmmmmmmmmmmmmh nina shaka na muuzaji, inatengezwa uswahili ya nguvu na mdau huyu!
ReplyDeleteKazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUza lote kwa pamoja, acha kuharibu mji au fanya vipimo kitaalam.
Wewe Mdau Ibra au Fisadi, Jibu swali la Tarehe Mon May 31, 02:12:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteHivi wewe na akili zako unamwambia mtu kwamba shamba lina ukubwa wa ekaLI KUMU halafu hapo hapo unafanya makosa ya jinai: ukichukua miguu au hatua 20 za kiwanja kimoja kama ulivyosema mara viwanja 5 unavyodai viko kwenye hilo SHAMBA unapata ekari KUMI kweli - unajua ekari moja ni nin?????. Nenda ukamwibie mkeo au babako.
Wewe Tanzania Oyee na Ughaibuni ziii wa arehe Mon May 31, 05:26:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteMbona ugahibuni wamesema hawatoi pesa za kusaidia bajeti ya mwaka huu na hiyo hiyo tanzania unayoisifia wanaha ha ha sasa, pamoja na wewe uko hatarini kukosa hata sukari ya chai asubuhi!!
Unaisifia nchi ambayo ina wenyewe: mafisadi? Au wewe ndio mmoja wao wa hao mafisadi?
Wacha kutudanganya kama watoto wadogo kusema tanzania oyee....tanzania ilikuwepo wakati wa Hayati Mwalimu Nyerere bwana!!
Inabidi wewe ukae kimya kwa sababu hujui unachokisema
Wee mdau unayesema watu waughaibuni tunajifanya tunajua sana...well you guess what youare right we know more and better than you. Tunajua tulikotoka na kamwe sitakikurudishwa mawazo ya kiutumwa. Kama tuliboy scout na kudig behind the house that was then and this is now...Honey ukitoka nje ya hiyo bubble hapo utajua tofauti. Wee kaa hapo ukilanguliwa tu na kujifanya unajua yote kumbe hujui...What you don't know you don't know.... Kiwanja Bunju hatua 20 by 20 Million 5? You are kidding right? Always wajinga ndio waliwao...Ndio maana mtu ukienda bongo na kushangaa ma price yao wanakuona wew umelost kumbe wao ndio wamelost hawajui the real value of their money...Honest Tanzania wengi hawajui thamani ya hela yao kabisa kwa vile vitu vingi ni vya kurithi tu. No apraizal or anything kalal kaota million kadhaa basi na yeye huyo.....twende....Kiwanja heka moja kakigawa kweli halafu unawauziwa watu. Kwanza serikali inatakiwa kuangalia hivi viwanja vilivyopimwa halafu vinavyokatwa na kuuzwa tena...city plan yake ni vipi...? Kilipimwa kiuzwe kwa hatua ishirini ishirini ama huyo mtu anajiuzia tu...Kuna barabara in btn those plots, light polls zitapita juu ya nyumba ya mtu ama, sewage drainage etc etc
ReplyDeleteMnasema tunajifanya kama manataka mkae ulimwengu uliopita wenzenu rwanda wamelearn wanakenda mbele tu. Sio tataishia vinjia vya uchochoro tu visivyo na anuani kila siku. Ukitaka kufika mahali kila siku ni zile enzi ya mkolini bado tu..Nipo karubu na so and so..Ukifika mahali fulani ulizia kwa mzee fulani...Why hatuendelei na kupanga vitu vizuri.?? Huko nyuma tulikosea sasa kwanini tuendeleze ujinga ule ule?
You guys need to wake up....Hela uliyoitolea jasho huwezi kuimwaga kama uchafu hivyo...Njoo hapa nikuonyeshe kiwanja cha dola 10 just 50 minutes from down town Manhattan ndio utajiuliza why I did I pay 5 millions for that playing ground?
Upende kusikia au usipende habari ndio hiyo
wewe mcheua pumba unayejiita tz oyeee ughaibuni zii unajifanya unamachungu sana na tunaopinga kutengenezwa uswahili jingine huko bunju,.
ReplyDeletewewe huoni shida ya mifeeji(drainage system) inavyo kusababishieni kipindupindu hapohapo dar es salaam mji mashuhuri wa tz miaka nenda miaka rudi. hata kama tulikuwa tukijisaidia uani sasa unataka na kizazi hiki kiendelee kujisaidia uani tena,muone usivyo na haya na hushirikishi ubongo kabla ya kuongea,una mtizamo wa kiganjani(myopic) na nchi au mtaa ukiwa na watu kama wewe 20% tu itakuwa sio nchi au mtaa tena bali choo tena cha uswazini. unaangalia faida ya leo 5m lkn behind hiyo 5M hujui kinachofuata kinaweza kukugharimu maisha.
tunahitaji miji iliyopangika,na maisha mazuri sio kukamuana fedha bali kupata vitu vyenye ubora kwa gharama inayowezekanika. usijifanye mjanja wakati bibi yako anahangaika malaria kwa kung'atwa na mbu wanaozaliana ktk mifereji ya maji machafu,kisha wee wa kwanza kuilaumu serikali.anza kufikiri kwanza wewe na kuwa positive ktk kushiriki kuibadili nchi sio kubweka tu oooh mnamharibia mwenzenu pumbafff.tunao kaa ughaibuni tunafahamu fedha ilivyongumu kupatikana sio wewe ambaye umekaa hukoukiona wazungu unadhani wanajipanga kukuletea pesa,ushamba huo utakapo kutoka ndipo utafahamu kuwa maisha bora sio lazima pesa kibao,nikuwa na plan nzuri ikiwemo mipango miji.acha watu wapate viwanja vilivyo pangika tena kwa bei za kawaida wajenge nyumba bora waepukane na mazingira hatarishi kwa afya zao,sio kupanga nyumba 1 familia 8,wenye TB wamo,wenye kaswende wamo kisha kuambukizana tu chooni kwa kuchangia makopo ya chooni n.k kuwa akili pia sio unakuwa mwili tu.
mdau.
mimi naungana mkono na Tanzania Oyeee
ReplyDeletenyinyi wadau wa ughaibuni mmezidi kuidharau tanzania , halafu mnaikosoaa kwa kila jambo , je mnataka nani airekebishe ikiwa nyinyi mmekimbia na wengi wenu mnaishi huko kwa kujifichaficha au kama wakimbizi ? yanini tabu yote hiyo kisa kukaa na wazungu , bora nife huku huku lakini sidharauliki kwa nchi za kizungu , yaani mmekaa huko mnatumwa kama watumwa vile zamani then mnatupigia makelele drainage system , njoo tutengeneze wote drainage system sio unakaa huko unatupigia makelele, yaani nimeona mimi wazungu wanavuowanyanyasa nikashangaa sana wanaopenda kukaa huko , ipende nchi yako na isifie na kama kuna kasoro njo urekebishe na sio kukosoa ukiwa mbali , wengi wenu mnaoishi huko ughaibuni mmefadhiliwa na mafisadi wa huku tz , kama sio babazenu basi wajomba zenu , sasa mnaidharau tz, mimi nasema hivi MAFISADI NI NYIE HUKO , TENA MNAONGOZA KULIKO WA HUKU...
habari ndiyo hiyo
angaikeni nayo
ankal usiibane hii wamezidi hawa
na filimbi nitapiga wakiendelea kuzidi,midomo yao kama vyooo vya bar
Anpnymous was Mon May 31, 10:36:00 PM, Mtoa Maoni: Amimi naungana mkono na Tanzania Oyeee
ReplyDeleteWewe nakushngaa sana mbona ulikimbia kijijini kwenu ukaja mjini dar es salama? Tukueleweje? Ungekuwa unapenda kijijini kwenu ungebaki huko huko ili upaendeleze! Wewe ni mgonjwa wa akili. Unavyokaa dar es salaam, umesaidiwa au kufadhiliwa na babko au mkeo? Ondoa ushamba hapa!!
Jamanieeeh nyie wengine mnaoishi ulaya wengi wenu watoto wa watu a.k.a ( bwabwa ) kataeni na hiyo , bora nile vumbi bongo kuliko kupakatwa ulaya , duhh hii mbaya kweli
ReplyDeleteDuh hapa pana issue haijatulia
ReplyDeleteThis is a very interesting debate, I presume. I am very glad to see that people have different opinions depending on their knowledge and experience. However, I believe this blog is meant to be educative rather than a place where people explode with insults and rather unsorted and shallow arguments.
ReplyDeleteFirst of all, there is nothing wrong with people living abroad pointing out things that are clearly or at least seemingly incorrect. I am a Tanzanian who has always been proud of being so but never proud of the corruption, ignorance and carelessness that goes on in the country. And I know that even you Mr Ughaibuni ziii will agree with me that Tanzania must step up to correct what our fathers and grandfathers did wrong. Better health systems, good environment and education are the most important things that the majority of Tanzanians are still excluded from accessing them. Yes, we lived in poverty but for a sensible human being, continue to live in poverty should not be a choice. As in if you used your backyard or streets as your toilet then your child should not follow the same steps. That is what we call real development, improvement and mental and economic growth.
It is true that most of immigrants including Tanzanians may not be living in the best conditions (segregation and exploitation) in the developed world or Ulaya but at least they have learnt. Even if they may be ashamed of coming back, they at least have guts to point out what we Tanzanians have allowed to go wrong and unchecked for so long.
Tanzania is ours and it is our responsibility to improve it be it through ideas or taking actual part/lead.
This is not about Tanzanians who live abroad to pretend they know much or look down on Tanzania, it is about bringing up the issues to a bigger notice. Also, it is true that when you live in one place, you barely notice things things because you have always take things for granted or because that is your default surrounding and you have no references or comparisons to make. Hata wahenga walisema, tembea uone! Do not blame people because they have been exposed and have become analytical and critical in the process but rather appreciate their contribution. Have you ever asked yourself why most African leaders pioneers of independence studies abroad? Just in case you did not know, it is because in order to take that white colonialist out of the country, they had to learn and understand the white trick and use it to back fire. So, let us learn what is essential for our development and leave the rest for losers. By the way, why is it so hard for Africans to learn useful things like good work ethics and loyalty but so easy for them to try to present themselves like some Black Americans?
Ughaibuni sijui Tanzania Embu tuache hizo wote mkia sahihi lakini kumbuka wewe million 5 nyingi kiwanja kidogo...hapo hapo mwingine anaona kiwanja kikubwa na million 5 ndogo. Watu Tuko tofauti maisha pia tofauti so all is about choices my people. Ata hapa ulaya watu wenye majumba yenye nafasi na kila kitu kama kwa mfalme pia wanauza majumba yao na wakati Tanzania mtu hawezi kumiliki ata uchochoro wa kiwanja pia niwakumbushe bunju ni mjini sasa siyo miaka ileeeee namanisha ukitaka kiwanja chat kujenga nyumba tu tena Bagamoyo siyo Dar ni shilling za kitanzania million 2 hadi 3 maeneo Ulikuwa tunaita mashambani na ata vijijini sasa bei hizo hizo ..etc......unajua nini tuishi tusiigize! Kila mtu ananipa mbawa zake aruke kwa uwezo na,fikra zake- Holland
ReplyDelete