Wadau wa Zain wakiserebuka katika mnuso wa kennedy na Mwangaza wikiendi hii salender bridge club jijini dar ambao awali walimeremeta katika kanisa la Baptist la Kinondoni.
Kuona Video hii na nyingine kibao: BOFYA HAPA
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Wadau wa Zain wakiserebuka katika mnuso wa kennedy na Mwangaza wikiendi hii salender bridge club jijini dar ambao awali walimeremeta katika kanisa la Baptist la Kinondoni.
Kuona Video hii na nyingine kibao: BOFYA HAPA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asalaaalee, my long time friend, my primary school mate, naught boy, hahahaha ASUPYA, miss you big time. mbona kitambi kaka? ama kweli bongo patamu nami narudi home. maharusi hongereni sana Mungu awajalie muishi milele
ReplyDeletehongera sana maharusi wawili kwa uwamuzi wenu mzuri wa kuishi maisha ya pamoja milele.
ReplyDeletedah sijaona sherehe alafu wanake wasiwe na mizigo huko nyuma yani dadazetu huko sijui wanatumia nini maana kila utakaemuona kafungasha kaazi kweli kweli
Duh,,bongo kweli patamu michuzi asante sana kwa hii video uwe unatukumbusha kwetu hivihivi.Bongo watu wengine wana maisha kuzidi hata ulaya!! duh.
ReplyDeleteMICHUZI UNAPOST SURA ZA WATU, UNA CONSENT YA KILA ALIYEPO KWENYE VIDEO HIYO??? UTAFUNGULIWA MASHTAKA!!! MWANA HABARI GANI HAJALI COPY RIGHT??
ReplyDeletewana madeni ya mikopo ya magari hao, usitishike na vitambi na nguo za kumeremeta. Mwisho wa mwake rent mzozo... unasema wana maisha matamu kuliko ulaya! labda wewe mbeba box ndio unaona hatari, wenye kazi zetu professional maisha matam tu. kila mwaka africa mara kadhaa, sikwambii hizo safari za EU.
ReplyDeleteSafi sanaaaa, kuna dada mmoja hapo kuanzia dak. 2:18 to 2:33 amenisuuza sana na style yake ya kucheza, bila kusahau kumpa pongezi maana amefungasha si mchezo...!! Uko single mpenzi?
ReplyDelete