Waziri wa fedha na uchumi Mh. Mustafa Mkulo akimkaribisha Bi Hellen Clark ambaye ni Msimamizi wa Miradi ya Maendeleo ya Shirika la Kimataifa la UNDP alipofika ofisini kwake leo .Bi. Helen Clark akiweka saini kwenye kitabu cha wageni ofisin kwa Mhe. Waziri wa fedha na uchumi,Hazina leo alipomtembelea kwa mazungumzo .
Waziri wa Fedha na Uchumi ,Mh. Mustafa Mkullo (kushoto) akimkabidhi zawadi Bi. Hellen Clark ambaye Msimamizi wa Miradi ya Maendeleo ya Shirika la Kimataifa la UNDP- alipofika ofisini kwake Hazina leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wadau naomba kuuliza hivi hii Mizengo pinda style ya kusalimia watu na mikono mfukoni imeshakuwa ni style rasmi ya viongozi wa serikali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...