ZAMBEZI AIRLINES INTRODUCING
NEW ROUTE FROM
DAR ES SALAAM
TO
HARARE VIA LUSAKA 4X A WEEK

MONDAY, WEDNESDAY, FRIDAY, AND SUNDAY
FOR MORE INFORMATION PLEASE CONTACT ZAMBEZI AIRLINE

Tel: +255 22 2137422 +255 22 2134600 Fax: +255 22 2134601
Harbour View Towers – Ground floor, Samora Avenue
Email: laila@zambezi.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2010

    Can you guys have a website? It is cheap and more convenience for most of ur customers, Thx.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    kaka Michuzi naomba nitoe Msaada tutani kwa mtoa maoni namba moja hapo juu. http://www.flyzambezi.com/
    ni swala la kugooogle tuu.

    Nadhani hawa jamaa wanaweza iamsha ATCL usingizini.Nimependa paint ya tail ikiwa na rangi ya twiga. Iko serious kuliko ile ya ATCL ambayo iko kama imechorwa mtaani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    Samahani wakuu hili shirika la ndege makao yake makuu yako wapi? Na ni shirika la nchi gani?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2010

    Nasikia Serikali imechomoa life supporting machine ya ATCL, RIP ATCL!! Zambezi, karibu Dar.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2010

    Madau juu Hapo Ni Kampuni Ya taifa ya zambia ila kuna wadau wana isa zao ndani, makao makuu ni Lusaka zamani ilikufa kwa jina la zambia air line

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2010

    Kaka Michuzi nimepanda mapipa mengi sana na kila nikiona ndege naikumba ATCL na nasikitika sana inavyokufa huku serikali ikishangaa tuu. Serikali imeiua ATCL kwa kuweka wajomba na maswahiba wao katika uongozi wa atcl. Mimi nashangaa sana kama huyu Daudi Mataka alivyoiua ATCL na kisha kupelekwa kule NIC ambako amejaza mashemegi na wakwe zake..inatia huruma sana. Zambia imeamka usingizini na iko serious in business.
    DAR is the big business potential of the region because of tourism, bandari, na location yake. Emirates, Ethiopian, Kenya Airways, Quarter, Egypt Air, LAM Mozambique, Swiss International Air, British Airways, KLM Royal Dutch, South African, Air Uganda, rwanda Air, Zambia Airways, na tena Zambezi ni baadhi tuu ya wanaocapitalize on DAR huku wakuu wakichapa usingizi na kahawa na kashata.....
    ATCL should be the leader in air facility in Dar....
    Michuzi nasikitika sana kuona ATCL ikijifia huku baba yake serikali akiwa bize na politix ziszo na msaada

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2010

    hii ndo vile vikampuni vya ndege ambavyo havijali hata usalama wa raia sisemi hivyo kwa nia mbaya ila kama kuna watanzania wanaweza kuepuka ndege kama hiyo waepuke tu hili shirika ndege zake zimezuiliwa kuruka kwenye anga ya ulaya kuna vishirika vingi vya ndege uchwara kama hivi vya huku afrika na ulaya mashariki haviruhisiwi kuruka ulaya nambatanisha rejeo http://ec.europa.eu/transport/air-ban/doc/list_en.pdf,kuna mdau kauliza niya ya wapi hiyo ni zambia mkuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...