mdau Adelaide Kiliba na mai waifu wake Rose Rakatare wakifurahia katika mnuso wao uliofanyika ukumbi wa Stallion baada ya kumeremeta usiku wa kumkia leo jijini Dar
maharusi na wapambe wakiwa meza kuu
burudani ya nyimbo za injili ulipamba mnuso huu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    Konozzzzzz.

    Maisha Mema ya Ndoa.

    Love is supposed to be unconditional.

    Upendo hauulizi, Upendo hustahimili yote. Amen.

    Mmependeza kweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    Congrats bro. Nawatakieni maisha marefu na kila la kheri katika ndoa yenu. Doris, Goddy, Emma and Wadadaz mpo!!!?

    Kassim Mwa.... (Neighbour)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2010

    Ade hongera sana mkeo mzuri mtunze nae akutunze DAJE (Dada Jane) umepata wifi na itakuwa siku hiyo ulimremba mwenyewe kama kawaida yako toka utotoni unavyopenda urembo hongera mama Kiliba kwa kupata mkwe bongeeee Ade asikonde huyoooo!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2010

    hongera rose kwa kutangaza msimamoooo, mmependeza sana Mungu aibariki ndoa yenu
    msharika wa mikocheni b
    mdau, canada

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2010

    Za Mchimboo
    weweee!
    Big up brother,
    nimemiss ndoa but next week
    im comin out there.
    ´K´ wa Mbezi Beach.
    From Vienna-Austria.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2010

    All the best. Mungu kaumba wawiliwawili, wanafanana kweli round face.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2010

    Sasa mithupu kwanini hujatuwekea kakipande ka video kidoogo tukainjoy angalauuuu????Hongera bibi halusi na bibi halusi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2010

    wamependeza sana ,bi harusi jamani ni mzuri ,ila kaka michuzi tuwekee na send off pia ongeza na za harusi maids hawajaonekana michuzi watu wanatafuta wachumba humu jameniii.wapi doris kiliba.kwakweli wamependeza sana daje hongera najua bi harusi alikuhusu manake ulimremba mwenyeweeee.safi sanaaa.wifi la nguvu.DAJE UPO JUUUU.HONGERENI SANA MAHARUSI.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2010

    za mchimbo...weeeeee.hongera sana kaka yangu,miss u so much.umtunze wifi vizuri,mungu awabariki.
    mwamvta,london

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2010

    Miss You BIG too Papii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...