Meneja Uhusiano wa PPF Bi Sarah Kibonde (Katikati) akitoa Maelezo kuhusu shughuli za PPF kwa watoto waliofika katika Banda hilo ili kujua shughuli mbalimbali za Mfuko huo wa Bima Katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea leo Mwanza.
Afisa wa PPF akimweleza mwananchi wa mwanza hatua mbalimbali za kupata Pension mara baada ya kutembelea Banda hili Katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea leo Mwanza


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...