Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Bw David Kitundu Jairo (katikati) akizungumza na wananchi waliofika katika banda la wizara, katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma, yanayofanyika katika viwanja vya CCM kirumba, Mwanza.
Bw. Jairo akihojiwa na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari
Mvunja mbavu maarufu Saidi wa Ngamba a.k.a Mzee Small ni mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Wizara ya Nishati na Madini. Hapa akizungumza na baadhi ya Maafisa wa Wizara. 




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...