Afisa wa benki ya Maendeleo Africa Mashariki (EADB) Bi Elizabeth Rugenga akimkabidhi madawati Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga.
baadhi ya wafanyakazi wa EADB wakiwa pamoja na walimu wa shule hiyo na wageni waalikwa pamoja na wanafunzi Mkuranga baada ya makabidhiano ya madawati.
wanafunzi wa Mkuranga wakiwa wamekaa katika Madawati yaliyotolewa na Benki ya Maendeleo Africa Mashariki (EADB).

ahsante brother Michuzi, ninaikubali blog ya jamii kwa habari. HIZO PICHA MBILI ZA WANAFUNZI WAKIPEWA MADAWATI NATAKA KUZIKUZA ILA HAZI-RESPOND, NAOMBA NISAIDIE KWA HILO
ReplyDeleteBro pole kwa kazi nzuri hivi kweli tutatekeleza lengo la MDG 2015 kama tunategemea msaada mpaka wa madawati ni bora turejee katika kujitegemea sisi wenyewe.
ReplyDeleteni aibu sana utadhani nchi haina viongozi hao wabunge wa maeneo hayo wanafanya nini? then wanategemea kwenda kuomba kura kwa wazazi wa hao wanafunzi kweli hii haiingii kwenye oblangata!!
ReplyDelete