Home
Unlabelled
decoder zanunuliwa kama njugu A-Taun kwa kombe la dunia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huu ni wizi na upuuzi kuna tofauti gani na gavana za magari.upuuzi upuuzi mtupu.
ReplyDeletena world cup ikiisha watazifanyia nini? kama hawakuwa na haja nazo huko nyuma?
ReplyDeletewewe unayesema watazifanyia nini mpira ukiisha kumbuka chanel 30 si mpira pekee kuna muzic tamthilia na kwa taarifa tbc 2 itakuwa kwa wale waliolipia tu kwa hiyo kuanzia nusu finali kama una kingamuzi chao upati mechi na ligi za ulaya zitakuwa humo uanata vya bure wakati watu watoka jasho
ReplyDeleteWORLD CUP IKIISHA WATAENDELEA KUANGALIA NA CHANEL ZINGINE PIA ILA KWA WALE WASIO NA UWEZO WA KULIPA 9000 KWA MWEZI NDIO WATAKUWA NA SHIDA .
ReplyDeleteAcheni kupenda dezo, hii decoder ya startimes inatuingiza kwenye dunia ya digitali ambayo TBC imekuwa ya kwanza hapa Tanzania kutoa huduma ki Digitali. Hii decoder ni muhimu sana na kila anayehitaji mawasiliano ya tv yaliyotulia hatashindwa kulipa 9000 kwa mwezi. Hongera Mh Tido Mhando. Unaijua vyema secta ya habari. Hans
ReplyDeletemdau wa Sat Jun 12, 06:48:00 AM umeshindwa kuelewa point ya suali langu. Hata kama kuna channel 4 tu. suali ni kuwa channel zote hizo hazijaanza jana au leo, na hawakununua hizo decoder, lakini kwa vile kuna mpira kila mtu anataka mmoja. kwa nini hawakununua siku zote hizo? jawabu ni kuwa hawakuwa na haja nazo na ndio nikauliza watazifanya nini baada ya world cup? get the point?
ReplyDelete