Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. imetulia lakini u congo mtupu,manake mie nilizani sio kiswahili kumbe ndio hivyo.imepoa hongera zao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2010

    Guess what?!! Bongo impaired life, but raha tupu, amani, upendo,relaxing, happiness si kama huku unapiga box twenty four hours..!!.Tatizo la Bongo ni mshiko tu. I like this song and has reduced my home sick to some degrees. Nice theme, nice video(Hakuna vichupi), nice tune,educative.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2010

    HII ALBUM YA FM ACADEMIA MIMI NAIITA NI ALBUM YA DECADE (MUONGO). NYIMBO ZILIZOMO NDANI YA ALBUM HII PAMOJA NA HUO WIMBO HAZICHUJI HARAKA NA BADO ZINAPENDWA MF, ACHA TAMAA,ANNA N.K.
    NAFIKIRI FM WANA JAMBO LA KUJIVUNIA,CHA MSINGI NI WAO KUTULIA UPYA NA KURUDI KIKAZI KAMA ZAMANI.

    ALBUM OF A DECADE.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2010

    michuzi asante sanaaaaaa kwa hichi kitu kizuri. hawa jamaa completely professional. mimi ninapenda kuwasikiliza akina werrasson, mpiana, koffi, fally na wengine kwenye utube na sikujua nyumbani kuna muziki mzuri kama huu. nina wapongeza hili group kwa muziki wao mzuri.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2010

    Kaka Michuzi mie naomba uniwekee SAMAKI ANA VIPANDE VINGAPI huu haupandi kabisa. Ninayo hiyo DVD.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...