Mimi Asia Idarous-Khamsin ambaye ni mmiliki wa duka la jijini Dar es Salaam liitwalo Fabak Fashions, nachukua fursa hii kuwapa taarifa wateja wangu na jamii yote kwa ujumla kwamba tumehama tulipokuwa zamani Msasani (Drive In ) na sasa tupo Mikocheni karibu kabisa na kituo cha daladala Kwa Mwalimu Nyerere.
Hapa dukani kuna bidhaa nyingi nzuri kutoka nchi mbalimbali duniani. Hivyo huu ni wakati mzuri kwenu kuja na kupata huduma zetu .
Karibuni Sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2010

    Asante sana tunakuja

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2010

    Hongera DaAsia,
    Kwa kuhamia sehemu yenye maendeleo ya soko kubwa kwa duka la mitindo/bidhaa kutoka sehemu mbali mbali ulimwenguni,tutalitafuta popote litakapokuwepo Mikocheni.

    Mickey "Mikidadi" Jones

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...