Keki ambayo ndugu, jamaa na marafiki wa Da'Mwamvita waliandaa katika mnuso wa kustukiza (suprise party) wa hepi besdei ya kuzaliwa kwake usiku wa kuamkia leo hoteli ya Kempinski Kilimanjaro jijini Dar.
Da'Mwamvita akikata keki yake
Champeni ililipuka katika mnuso huo ambao yeye mwenyewe Da'Mwamvita hakuujua hadi alipojumuika na ndugu, jamaa na marafiki waliomuandalia levo 8 hoteli ya Kempinski
Da'Mwamvita akiwa na baadhi ya marafiki waliomuandalie mnuso wa kustukiza
Da'Mwamvita akiwa na marafiki kwenye mnuso wa kustukiza waliomuandalia
Mmmh cake hilooo linawakawaka wakati wa hafla ya Da'Mwamvita ofisi za Vodacom...
Jamani mkeki wangu huu leo!
Dah! hawa jamaa wamesahau kuleta na soda Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania
Dietlof Mare akifurahia jambo mara baada ya kupewa kekiz na Mwamvita
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakijichana cake kwenye birthday ya mfanyakazi mwenzao Mwamvita Makamba











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2010

    Cool and congraturation. Ila nguo ya rangi nyeusi kwenye birthday yako, what does this imply? Thought you could wear a color with special and appropriate meaning and messeage, right?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2010

    He he heeeeeeeeeeeeee, haaaaloooooooo oooo. hepi besidei njema. mtoto mashalaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2010

    Jamani huyu dada nampendaga! Halafu kafanana sana n Michelle. You rock girl!


    Dadako, Norway

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2010

    Hivi huyu dada kaolewa, me nataka nipeleke posa kwa Mzee Makamba..lol

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2010

    Daaaa Mwavita una mchumba? Mimi natafuta mchumba, nipigie basi 999 au 911

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2010

    Sijamwona QG kwenye picha kwa nini mama?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2010

    Mama Kitumbo a.k.a. Mama Uturn au Mzungu, mbona simwoni?? Maana shughuli kama hizi hasa Kempiski never miss.

    ReplyDelete
  8. Didi DrogbaJune 05, 2010

    HONGERA MWAMI PIA ASANTE SANA KWA MSAADA WAKO.

    ReplyDelete
  9. stella tingishaJune 05, 2010

    We unaemtaka huyo mama kitumbo wako si uende kule kwake ndio utaona hayo mapicha yake hadi uchoke,huku anahusu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...