Home
Unlabelled
jaffarai aibuka na demu wangu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wamarekani wanamziki wakiona huu wimbo watacheka sana bongo kwa kuiga nawavulia kofia mpaka tamaduni za watu lol
ReplyDeleteUtaiona tu mijitu ya wivu wacheni wenzetu wanakula pesa. DK ya 1;49 imenichekesha sana jamaa mpaka kuangukia pool. Rudini Nyie kujifanya USA ndio kama kwenu vile.
ReplyDeletesio mkali
ReplyDeletena wanavyowadharau waafrika sipati picha!
ReplyDeletewabongo acheni mambo ya kishamba hii ngoma kali... kila ki2 mnataka kuponda tu jaribuni kukubali vi2 vya nyumbani uu mpaka wa2 wacheze ngoma za kienyeji ndo mjue ya nyumbani?
ReplyDeleteMdau wa kwanza (Tue Jun 29, 12:48:00 PM,), acha kujishaua, HATER! kuiga kitu gani,,this song is a version of Hip Hop, and Hip Hop is universal..waanzilishi twawajua ni US, so kuna ubaya gani mtu akifanya muziki huo akiwaiga wamarekani?
ReplyDeleteStop HATING mayne, instead, you should appreciate the good work our bros. n sisters are doing back home. Production ya ukweli, video quality ya ukweli, atleast ungecomment wimbo sio mzuri tungekuelewa. Big up to JF na TID, na bongo flava kiujumla,pamoko.
One,
Mdau,US.
Nice chorus, nice video..but JF's flow sucks!
ReplyDelete