
Kampeni ya KUHUISHA (ku-renew) majina ya vikoa vya .tz (.tz domain names) LINAENDELEA…..
Pamoja na kuhamasisha usajili wa majina mapya, tzNIC pia inawakumbusha wenye majina ya zamani kuya-renew kabla hayaja-expire.
MAJINA MENGI YATA-EXPIRE MWEZI JULAI 2010. HAKIKI TAARIFA ZA DOMAIN YAKO BOFYA HAPA-1.
BOFYA HAPA hapa-2 kwa maelezo zaidi juu ya kampeni hii.
Ada ya ku-renew ni TZS 20,000 TU na maelezo jinsi ya kulipa yanapatikana BOFYA HAPA hapa-3.
WASILIANA NASI: SIMU -
(022) 2772659 AU E-MAIL –
info@tznic.or.tz
KWA MAELEZO ZAIDI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...