MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO ANAPIGA RASMI KIPYENGA CHA CHAMA HICHO TAWALA CHA MBIO ZA UCHAGUZI MKUU WA RAIS NA WABUNGE KWA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA KATIKA MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA AMBAKO SHAMRASHAMRA YA TUKIO HILO LIMEANZA MAPEMA ASUBUHI HII.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mwnaccm wa kinyereziJune 21, 2010

    CCM oyee...JK anaanza kuchukua fomu, sisi tujipange kumpa kura za NDIYO kwa wingi.
    Lakini pia tumpatie wabunge waadilifu atengeneze kikosi cha miamvuli kizuri tutekeleze ilani ya chama chetu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    Ankal nipo jirani na eneo la tukio mamia ya wanachama wamevalia jezi ya ya chama chao

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2010

    maisha bora kwa kila mtanzania

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2010

    Chonde Chonde Mh, kwa asilimia mia, pamoja na mapungufu yaliyopo tunajua utarudi tena, ukirudi tunaomba utubadilishie yule waziri wa madafu maana madafu yanashuka hata siku moja hajawahi kutoa 'press conference'.


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2010

    Nimeona maraisi yote waliopita naweza kusema Kikwete ni bogus kulingalisha maraisi waliopita kwani hakuna alichofanya ni maneno matupu hakuna utekelezaji. Amekuwa anawabeba wachache, hakuna maendeleo ya watu, hakuna utawala wa sheria. Watanzania tufungue macho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...