Dr. Augustine Mahiga
The UN Secretary-General today announced the appointment of Augustine P. Mahiga of the United Republic of Tanzania as his Special Representative for Somalia and Head of the United Nations Political Office for Somalia (UNPOS). Mr. Mahiga replaces Mr. Ahmedou Ould-Abdallah, of Mauritania, who has served in the position from September 2007.

Mr. Mahiga brings to this position many years of both Government and United Nations experience. Since 2003, Mr. Mahiga has served as the Republic of Tanzania’s Permanent Representative to the United Nations in New York.

The Secretary-General expresses his deep appreciation to Mr. Ould-Abdallah for his dedicated service and exemplary leadership on Somalia over the last three years. During his tenure, Mr. Ould-Abdallah has worked hard to bring international attention to Somalia – one of the world’s worst humanitarian and political crises.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2010

    kwa nini hawakumchukua kamau?
    aah UN wamekosea kweli...

    bm
    uk

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2010

    atakayechukua nafasi yake ni nani? mwambie JK mimi niko huku huku naomba nafasi yake. Wala sihitaji relocation allowance wala nini...mimi ni subway tu nimefika kazini...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2010

    Yeah thy should have tk uncle Kamau,,,,,wht do u think guys?????????????????he getin more frustration and more jealos,,,,

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Dr. Mahiga kwa kuchaguliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kumwakilisha Somalia.

    Hii inatokana na ufanisi wako wa hali ya juu katika kazi zako. Pongezi kama hizo pia zimwendee Mh. Jakaya Kikwete kwa uchaguzi makini wa Watanzania kama wewe bila ya kumsahau Dr. Migiro.

    Sisi wananchi wa kawaida huku Tanzania, tunajivuna sana tunapowaona Watanzania wenzetu mkifanya kazi zinazoonekana na Viongozi wa Kimataifa.

    Sisi Watanzania mara nyingi hatuchagui kazi. Utamaduni wa aina hii ni tangu enzi za Ujamaa na Kujitegemea. Tunahakika utaichukua kazi hii na kuifanya vizuri kwa kadri ya uwezo wako.

    Sehemu ya kazi ni ngumu, iliyobaki tunamwomba Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe wakati wote ukiwa huko. Amen!

    This Is Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2010

    Hongera sana Dr. Mahiga. I hope Tanzania and you will take Somalia an extra mile in terms of peace and security development.
    Tunategemea pia kuwa uzoefu wako wa UNHCR, Liberia, Umoja wa Mataifa New York utatumika kutatua matatizo ya Wasomali. Ni matumaini yetu pia kuwa Serikali itakuunga mkono katika kazi ngumu uliyonayo ya kutatua matatizo ya Wasomali ambayo yanaongezeka kila siku,
    Hongera sana na Mafanikio mema.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2010

    Kaka Michuzi,
    Ungetafuta hata picha ambayo yuko mbele ya Bendera ya Tanzania au ya UN basi. Hizi ishu ndogondogo ni muhimu kuzizingatia Ankali. Au bado uko vekesheni ujerumani???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2010

    Ivi hawa UN hawajamuona Kamau?huyu Mahiga si Mtanzania?nadhan ki moon aangalie vizuri!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2010

    Hongera sana Balozi,

    Naamini kabisa kwamba uteuzi huu umezingatia uadilifu wako, uchapakazi na uwakilishi makini pamoja na uzoefu mkubwa ulionao kitaifa na kimataifa,

    Somalia inahitaji amani ili wananchi wake waweze kujivunia na kuwa huru katika ardhi yao wenyewe, kazi ni kubwa mbele yako na kwa uwezo wako imani i-kubwa kuwa utatekeleza kwa umakini na uyakinifu,

    Mungu akutangulie,
    Matukio

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2010

    hawa jamaa pamoja na kuchukua hizi nyadhifa kubwa kubwa naomba vile vile waitumie kuvuta wengine hata kwenye vijinafasi vya chini.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2010

    Wamempendelea. Tangu lini mtanzania akafaa kupewa majukumu mazito? Eti Kamau, yani Ban hakumuona hata mkenya mmoja kati ya wakenya milioni 48? Jamani watanzania hebu tuandamane maana tumependelewa na UN

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 10, 2010

    Pongezi Dr. Mahiga, Tangu UDSM ulipokuwa "student friendly lecturer", mpaka ulipoitumikia nchi yako na jumuiya ya kimataifa, bila kusahau ulipokuwa mwakilishi wetu UN wakati TZ ilipokuwa Mwenyekiti wa Security Council, daima umefanya kazi kwa ufanisi, uadilifu na bila upendeleo. All the best. Ahmad (ex-student of yours).

    ReplyDelete
  12. Mume Wangu, Mikanjuni TangaJune 10, 2010

    Hongera sana Dr.Mahiga kwa nafasi uliyoteuliwa.
    Sasa ndugu yangu nivute mkono na mimi angalau niwe CASHIER katika ofisi yako. Nina Diploma ya uhasibu kutoka chuo cha Wazalendo CBE na uzoefu wa miaka 18 pamoja na UAMINIFU tokea nilipozaliwa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 10, 2010

    Sasa FS3, FS4 hazitatupiga chenga...Keep it up Dk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...