
Ankal Shikamoo,
Sisi ni wadau wa Bangalore ambao tunasomea mambo ya Computer science na IT umoja wetu chini ya Mzungumzaji wa wanafunzi Bangalore unapenda kuitanganaza blog yetu mpya inayohusika na maswala ya Information Technology ili kuwasaidia waTanzania wawe exposed zaidi katika ulimwengu huu wa teknolojia.
Karibuni sana
Si juzi tu mlifungua nyingine ya wanaIT wa Bangalore huko tena na mkafanya premier...Nakumbuka niliiona ile blog na topic moja niliona ...imekuaje tena leo mnafungua nyingine .....
ReplyDeleteAu hizi blog ni za individuals halafu mnatumia mgogngo wa jumuia...????
Mnalipwa na chuo kwa kukitangaza? Pia tuorodhesheeni list ya vyuo vyote vya IT huko in order of ranking (first to last).
ReplyDeletejamani msiwe mna criticize tu vitu bila kujua mnachokiongea "without fact without evidence you have no right to speak" Hiyo blog ya IT ya Bangalore unayoijua wewe ni hipi andika address yake tuione halafu swala la kwamba college inalipia inabidi utumie akili umeona tangazo lolote la college kwenye hiyo blog?
ReplyDeleteLengo ni kuisaidia nchi yetu ambayo hipo nyuma kiteknolojia kiasi kwamba na ukubwa wake wote watumiaji wa computer wapo chini ya millioni moja katika watu zaidi ya millioni therathini, kuhusiana na vyuo vya India vya IT inategemea na ada unayotaka kulipa weka range yako ya ada usaidiwe.
ebwana kazi nimeikubali mzee keep it up mkubwa pamoja
ReplyDeletemy bad..thanks kwa kunikosoa lengo ni kusaidia nchi lakini kama watu watakua wanarudia vitu itakua copy and paste na ushindani usio na maana...
ReplyDeleteMimi nilipost point 1 so Nilichanganja kuona hapa juzi tu kuna libeneke lingine limefunguliwa la wanajumuia la IT kumbe nili mix up things....You know....nimeka chini leo nakujaribu kukumbuka the blog I wa talking about... na nikagundua ilikua umoja wa china. http://blog.afroit.com ...sorry for any inconveniences that happened to you...
MNAPOFUNGUA BLOG MJIULIZE BLOG YANGU WASOMAJI WAKE NI NANI, NI KWANINI WATU WATAACHA BLOG NYINGINE ZOTE WAJE WASOME YANGU.
ReplyDeleteNAKUPA HONGERA KWA DESIGN YAKO TEMPLATES YAKE NI NZURI SANA LAKINI BLOG UNAITANGAZA KWA WASWAHILI UMEANDIKA KIMATUMBI HAPO HAPO BLOG IMEJAA COPY AND PASTE KIBAO.
SIO KILA MTU LAZIMA AWE NA BLOG.
Acheni majungu tatizo la watanzania tunakuwa wagumu kuelewa ndo maana hatutoendelea kamwe...tutabaki kupiga majungu kip it up......tunahitaji wasomi wanaoitumia elimu yao kiufasaha na sio bali wamesoma tu thn hatuoni wanachofanya katika maendeleo ya taifa na watanzania kwa ujumla......
ReplyDeleteTanzania kuna zaidi ya blog mia moja blogu zinazo zungumzia teknolojia hazipo zaidi ya kumi swala mabalo ni aibu na kama swala la kuandika kimatumbi nadhani umejijibu mwenyewe watumiaji wa blog hiyo ni watu wanaosomea teknolojia ya juu ambayo inafundishwa kimatumbi na si waTanzania tu ila na watu wengine wa Africa kwani idea yenyewe nimeitoa ICT-Africa
ReplyDeletena swala la COPY and PASTE kama wewe unaweza lifanye mimi sio mwandishi wa habari AM IT professional aka IT Consultant you can check me in LINKEDIN e.g siwezi kwenda kuwaoji google kuhusiana na teknolijia zao ila nitazisoma tu then nitakurahisishia wewe mtumiaji wa mwisho.lastly nchi yetu ian level mbaya ki IT you should be the last person kuandika vitu hivi.
"SIO KILA MTU LAZIMA AWE NA BLOG" jamani tuache wivu wa kijinga kama na wewe una Idea si uwanzushe ya kwako "IT IS THE BASIC RIGHT OF ANY HUMAN BEING TO IMPLEMENT WHAT HE OR SHE KNOWS" kama wewe uwezi basi na swala la kiingereza unataka aandike lugha gani wakati ni blog ya teknolojia niambie kiswali cha "MICROSOFT VISUAL STUDIO" halafu kumbuka na audience yake ni watu wa vyuoni na wahitimu mbalimbali sidhani kama hawajui kiingereza.
ReplyDeletejamani don't try to pull back those who have vision to save our country from this tragic of being the worst country in terms of IT professionals.
ReplyDelete