Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2010

    kaka bora wewe huimbe kwa kiswahili tu kuliko hicho broken chako !!HAUNA LAFUZI YA KINGEREZA BUT UNA LAFUTHI YA KISWAHILI SO USILAZIMISHE !HIZO I GARAA,I GARAA NINI WEWE !!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2010

    kujua kingereza ni wito jamaniiii,solo nakushauri uende english course,wewe ni msanii unaejulikana sana bongo na watu wanajua ukiwa ulaya basi na kiinglish kinapanda kwa sana,sasa haya mambo ya utandawazi ndio yanaharibu kwani watu wanajua kuwa msanii wetu kiinglish chake bado cha kuungaunga,kaka ukipata mapepa yako nenda shule

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2010

    huyu mkombizi anafanya nini hapa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2010

    vihoja dunia ndo hivi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2010

    kaka mm ushauri wangu..ukipata karatasi nenda darasani...au jitahidi beba box ukasoma kingereza acha kupiga makekelele hata sheria hauna.hehe asylum seeker.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2010

    i know thi dedu since jite ninachoweza sema mshikaji kwanza wewe kuimba english SAAU kabisa !twende sasa , huyu jamaa afanikiwi kwa sababu anajisikia sana kwamba yeye mkali pili anachonga sana !!kamwe awezi fika mbali wewe acha music sasa umri umeshakwenda piga box tu tujue moja!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...