Home
Unlabelled
miss dar city centre 2010 ni Salma Mwakalukwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mamiss wa mwaka huu mhhhhhhhhhhhhhhh sijaona kitu, au ile onga onga bado ipo? usibanie ka mich
ReplyDeleteHongera kwa washindi,
ReplyDeleteNaomba nitoe duku duku langu kuhusu jinsi shughuli nzima ilivyoandaliwa.In short it was highly diorganised.
Nitashukuru Michuzi kama utaweka hizi comment iliwaandaaji wajue walichemka.
1.Kuhusu Venue-this was perfect-Movernpick
2.Kiingilio-fair according to the quality of venue.Ilikuwa optional Tshs. 50,000 or 25,000
3. Warembo-walikuwa wana mvuto japo wengi wao hawakuweza kutembea kimiss,hii inaashiria walakini katika mafunzo yao
4.Muda wa kuanza-Almost Saa sita kasoro usiku-that was very annoying ukizingatia onyesho lilipangwa kwa tar 5/6 ila most of the activities zikafanyika tarehe 6/6
5.MC-alibore kuanzia alivyovaa na jinsi alivyoendesha shughuli,in short hakujiandaa,alivaa kama anaenda ofisini tena ofisi za mtaani,hakuweza kuwa na coordination nzuri na Dj wala kutoa microphone kwa wazungumzaji.
Mimi na Partner wangu ilibidi tuondoke mapema cause hatukuona maana ya kuendelea kukaa hapo.Zaidi,hatukupata thamani ya pesa tuliyolipa,tulisikia mzee mmoja pembeni yetu akisema huu ni wizi mtupu!
Next time ni vizuri kuboresha uandaaji wa matukio kama haya.
Ahsante.
Muda wa