Home
Unlabelled
MOROGORO YANYAKUA TAJI LA MISS EASTERN ZONE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bado najiuliza, ni Miss ngapi zimebaki? jana Miss REDDS, leo, hii hapa.
ReplyDeletemwenye nyekundu hicho ni kigoda?
ReplyDeleteHalafu wana minofu...hawa maiss nadhani ni wa kwetu hapa hapa...wakeinda kushindana ki mataifa itakua taabu sana..kwanza wafupi na pia wanaminofu kweli...
ReplyDeleteIn a positive note ni kuwa inaengeza ajira nchini. Waliowatengeneza nywele walilipwa, waliopamba hall walilipwa, waliopiga picha walilipwa na waliotengeza hizo nguo walilipwa...na walioingia kuangalia walilipa hela...Ukiona watu wanahela za kudispose kwenye starehe sana ujue uchumi unakua
ReplyDeletekama ni kutoa ajira hilo ni jambo zuri kwani watu wanapata burudisho na pesa zinatembea mikononi mwa watu. asante wewe mdau hapo juu kwa kusema hivyo. michuzi usisahau kuwa pia blog yako inaendele.
ReplyDeleteANKAL HIZI PICHA ZINAFANYA WANAUME WAPANDWE NA NANIHII, DUU!
ReplyDeleteanony uliyezungumzia ajira asante.
ReplyDeletenaongeza pointi moja - haya mambo yanasaidia sana, wale wenye pesa za ziada wanagawana na wasio nazo, mfano wale wanaolipa viingilio, na wale wadhamini wa mashindano, baadhi ya zile pesa zinaenda kwa mafundi cherehani, watu wa kudeki ukumbini, wahudumu, wauza chipsi na mishikaka, n.k
long' livu mashindano ya umisi!!!