Diomansy Kamara akiwa kaweka pozi kwenye katika banda ya kampuni ya uwakala wa utalii nchini,katika ndani ya viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya karibu
Diomansy Kamara kushoto akipokea fulana ya kutangaza vivutio vya utalii kwa moja wa maofisa wa bodi ya utalii pamoja na waratibu wa maonyesho ya utalii ya karabu yanayoendelea kufanyika mjini Arusha.
Mchezaji soka wa kimataifa Diomansy Kamara akipokea nyaraka mbalimbali za kutangaza vivuto vya utalii vya tanzania kutoka kwa waratibu wa maoyesho ya Karibu yanayoendelea kufanyika mjini Arusha.

Geofrey Meenaa umeula kaka kutoka Kibo Gold Blue band hadi bodi ya utaliiii! kazi nzuri kijana wetu. sisi bado twabeba box huku uhindini
ReplyDeleteSIYO KILA MTU ANAMJUWA KAMARA, YOU NEED TO PROVIDE SOME BITS OF HIS PROFILE MEN, HUO NDO UANDISHI GANI!
ReplyDeleteKamara, mcheza soka yuko vekesheni bongo, halafu hana kampani ya mchezaji wa bongo..aah tff mko wapi
ReplyDeleteumebana comment yangu..but again he z not relevant even wewe unajua hilo
ReplyDeletewazee hapo juu mmesema kweli. tff akuna wasomi awajuhi kazi zao!!
ReplyDelete