ambazo zaidi ya watoto elfu nne walihudhuria
Home
Unlabelled
nakaaya ang'arisha siku ya mtoto wa afrika A-Taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ameshapoteza ramani huyo,eti anagombea ubunge wa chadema,keep dreaming.
ReplyDeleteWhat, ubunge chadema...!!!. Natural dada kwisha kazi sasa....!!.
ReplyDeleteMusic imekataa itakuwa siasa?!!
Nawewe mpaka angesena anagombea CCM ndio unge mweshimu ? pumbavu
ReplyDeleteacheni hizo nyie, si ameamua ameona ina lipa, bora huyo aliyeamua kugombea ubunge kuliko kufaya ufuska mjini. keep up dada utaweza tu wenyewe waweze wana nini na wewe ushindwe una nini.
ReplyDeletefor sure nyie ma anony hapo juu acheni hizo. badala ya kumpa moyo manake tumechoshwa na CCM nyie mnaponda. aliyesema watanzania tumelogwa hakukosea..go Nakaaya go..wakilisha vijana.
ReplyDeleteJAMANI HUYU DADA UBUNGE ANAPEWA VITI MAALUM BILA KURA MANAKE NCHI YETU JAMANI HAMUIJUI DUKA LAKE LINAMTOA MWANADADA SASA HIVI MTAMSIKIA ANAKULA KILAIIIINI AKIFIKA BUNGENI KAMA MPIRA WA KONA NDIO NCHI YETU HII BADALA YA KUONGOZWA NA WASOMI WANAONGOZWA NA WANASIASA KAZI KWENU WABONGO.
ReplyDeleteSTIVE
wewe michuzi acha ujinga wa kubania bania watu comment.
ReplyDeletenyie ndo wajinga,damu changa hiyo alafu mnashabikia kuingia kwenye siasa,vijana wanatakiwa kuwa wabunifu ili kuliondoa hili taifa kwenye ujinga,wewe unadhani vijana wajizana kwenye siasa si ndo tunarudi kurudi nyuma.fungua macho dada
ReplyDeleteNyie ndo mmekwisha kazi msiokubali kubadilika na kuendelea kukumbatia mafisadi...! Go mama, tunahitaji kubadilika na muda ndo huuu! Kura yangu unayo dada.
ReplyDeleteDada mbele kwa mbele wanao kupinga inawezekana ni ma toto ya mafisadi au ndugu zao . wa tz atuwezi kua wajinga siku zote kwani wao wana tufanyia mazuli yapi sisi wa tz si bora ata angekuepo mkolon. uwezi jua kumbe unaweza kua ni mtu muhimu ktk taifa ili kuliko mtu mwingine wowote na kuweza kuliretea taifa maendeleo ukichukulia mama zetu mbaka leo maohospital wakijifungua ulazwa chini ila wao wakubwa mama zao au wake zao wakijifungua ulazwa vitandani . sasa sijuwi hii tz ni ya watu furani tu sisi wengine ni wakupigika tu .
ReplyDeleteGuys try to think outside the box,ma-professor wote wanakimbilia bungeni itakuwa Nakaya,embu mwacheni huyo dada au kuwa Chadema ndio kunakowasumbua?
ReplyDelete