



(photos by Freddy Maro)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha nzuri sana hiyo. WanaCCM na CHADEMA mpo? Donors waone sasa kuwa JK hana ugomvi na wapinzani. Ninavyomjua SLaa wakati wa kampeni atawaambia Karatu Rais mchagueni Kikwete lakini mbunge nichagueni mimi.
ReplyDeleteNashukuru Dr slaa amepata nafasi hii ya kukutana na rais moja kwa moja naamini kwa hizo dk chache ataongea na rais point zote maana bungeni huwa wanambania kweli Mungu hamtupi mwenye haki
ReplyDeletehii mbele ya mheshimiwa rais ni bia ama chupa ya maji?
ReplyDeleteSafi sana Rais Kikwete kwa kuunga mkono miradi inayosimamiwa na wapinzani wako kwa njia hiyo unadumisha umoja.
ReplyDeleteMdau wa Sat Jun 12, 07:07:00 PM, hiyo sio chupa ya bia wala maji ya kawaida, ni chupa ya sparkling water.
ReplyDeleteMdau wa Canada.
JK ni bonge la rais,habagui na hachagui watu wote kwake ni sawa....TATIZo wabongo ni kama tumelaaniwa vile hatuishi kumlalamikia kama vile yeye ndo atatutatulia matatizo yetu yote.
ReplyDeleteBig up JK,uko juu bana kwa maprezida wa Africa.
tuache kupotosha watu kwamba dk slaa atasema wamchagua kikwete ubunge wa mpe yeye.
ReplyDeletehapo siasa imeekwa pembeni kwenye swala hili muhimu linalohusu jamii yetu.
Mdau wa Sat Jun 12, 08:09:00 PM, kumbe Tanzania tunachagua/tunahitaji bonge la rais msikivu??? Nilikuwa sijui mwenzio, mi nilidhani wote tunahitaji rais mtendaji!!!!
ReplyDelete