Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    Hiii sasa ankal ndo inaitwa community service....shukurani sana!!! Mungu azidi kukujalia...

    Wadau mi ntakuepo si mnaona hata Ankal is in support of the REUNION....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    HI ST.

    HIS THAT ST. MARY'S INTL' OR ST. MARY'S HIGH SCHOOL.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    as long as ulipitia in any of the two karibu...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2010

    ni soda na maji mwanzo mwisho.
    Mama Rwaka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2010

    msome kabisa hapo ni ''cold drinks'' maana watoto wakishua mkishakutanaga utoto wa mama unaanza tena. utasikia tu siku hiyo viswahili vinavosahaulika na kuanza kumix na maofkozi.kudadadadadeki!MBAAAAYAAAA!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2010

    nashukuru mama rwakatare kwa kuwaeleza kabisa vijana ni koldi drinki maana hawa watoto wa shule za senti senti hawa hata wakikua bado utoto wa kuhadithiana katuni baa hauwaishi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...