DJ Simpo K.Profesa Abuu Omary jr.
Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani (Tanzanite Society) inapenda kuchukuwa fursa hii kuwatangazia Watanzania wote wa Kanto na maeneo ya jirani kuwa kutakuwa na sherehe kabambe ya kuyakaribisha majira ya joto. Maelezo kamili ya shughuli hiyo ni kama ifuatavyo:-
Siku: 19/6/2010 (Jumamosi)
Muda: Kuanzia saa tatu usiku mpaka majogoo
Kiingilio: Yeni 1500 (utapata kinywaji kimoja)
Ukumbi: Sagamino BG Club. Dakika 1 toka kituo cha train cha Sagamino (Soutetsu line)
Ma-DJ na Wasanii: kutakuwana burudani toka kwa DJ mkongwe, DJ Zee, Pamoja na vijana wanaokuja kwa kasi kubwa DJ Kidume pamoja na DJ Simple kutoka Chiba. Pia Yule Msanii machachari Mr Daima kutoka Chiba atamalizia ile mistari aliyobakisha siku ya sherehe za kumkaribisha Mheshimiwa Balozi. Usikose pia kuja kumuona Prof Abuu Omar Jr akipiga mpini. Miziki ya aina mbalimbali kuanzia ile za kizazi cha zamani (enzi za mababu zetu) mpaka za kizazi cha kipya, hip hop, taarab, Reggae na itakuwepo.
Kwa ufafanuzi na maelekezo ya ziada tafadhali wasiliana na wafuatao:
Bi Upendo: 080-1326-9700
Bi Mariam: 090-4422-8555
Bw Kipaya: 080-3414-4460
Dr Simba: 090-3899-0638
Tunawaomba watanzania pamoja na marafiki zao wa mataifa mengine kujitokeza kwa wingi ili kufanikisha shughuli hii. Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.
Ahsante
Kamati ya Starehe
Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani

Kassim nakuona mdogo wangu, safi sana maisha ni kupambana. Tokea mwanga sec. hadi Tokyo kwakweli umejituma na bidii zako tunaziona.Congrats.
ReplyDeleteZamda
Prof wa nin? Au kibaka tu.
ReplyDeleteMdau
jamani huyu abuu gita anapiga disco joka now adays ? kafulia nini ?
ReplyDelete