Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akiongea leo katika tafrija fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya Mabingwa wapya wa Kili Taifa Cup iliyofanyika katika ukumbi wa Safari Pub uliopo ndani ya Kampuni ya Bia Tanzania,Ilala Mchikichini.wengine ni Mpishi wa Bia za TBL,Justino Jekela (kushoto) na Mwenyekiti wa FA Singida,Iddy Mnyampanda alieongozana na timu hiyo.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Singida am bao ndio mabingwa wapya wa Kili Taifa Cup 2010/11 wakimsikiliza Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (hayupo pichani) katika tafrija fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya kuipongeza timu hiyo. Mpishi wa Bia za TBL,Justino Jekela akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya Singida namna uzajishaji wa bia unavyonyika katika kampuni ya bia ya TBL pindi walipotembelea leo
Kiongozi wa Maabara ya Vilaji vyote vya TBL,Conchesta Ngaiza akiwaeleza wachezaji wa timu ya Singida namna ya upimaji wa bia pamoja na viwango vyake pindi walipotembelea katika kampuni hiyo ya bia leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2010

    toeni ajira kwa angalau wawili basi? au kama vipi rudisheni timu ya ndovu arusha. hapo ndio mtakuwa mmesaidia taifa kiukweli-ukweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2010

    THIS BLOG ITS ABOUT TBL AND CCM HA HA HA WELL PAID HA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2010

    Wapigisheni pombezzz vijana hadi wazime Kisha muwabebe kuwarudisha hotelini wamefanya kazi nzuri sana!!! Nani alijua kabla kuwa singida nao soka linapanda??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2010

    Watu wa Singida acheni kula "Fuso"-Punda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...