Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji cha Taifa Ole Naiko (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania cheti cha kuaminiwa kutoka Jumwiya ya Afrika Mashariki.Makabidhiano hayo yalifanyika ofisini kwake, (na mpiga picha wa Globu ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2010

    THE MANAGING DIRECTOR OF VODACOM TANZANIA IS DIETLOF MARE

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2010

    THE MANAGING DIRECTOR OF VODACOM TANZANIA IS DIETLOF MARE

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2010

    Wewe anony hapo juu ndio ufoke?

    ReplyDelete
  4. Sijaelewa. Eti hiki ni cheti cha nini? Na kwa nini kinatolewa na TIC?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2010

    Mdau uliyeandaa habari hii, kiswahili fasaha ni jumuiya na si jumwiya. Ni katika kurekebishana na sina nia mbaya. @mdau hapo juu, twashukuru kwa kutujulisha jina la muhusika..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...