Maracas kwa kushirikiana na Sophie Entertainment wanakuletea LIVE show ya Kidumu siku ya Ijumaa 25/06/2010 itakayofanyika pale Movenpick Royal Palm Hotel DSM kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Tiketi ni Tsh 15,000 tu.

Show hii kali ya LAST FRIDAY ya mwezi huu wa sita inaletwa kwenu kwa udhamini mkubwa wa Isham Mobile Phones na Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    kama voda wamedhamini kiingilio cha nini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    Ila jamaa yupo juu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    Kwani wadhamini hawataki pesa? watu wengine wamezoea dezo dezo.Sio ubwabwa wa maulidi huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...