Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mwandishi mwandamizi wa Michezo wa Ghazeti la Uhuru Sophia Ashery cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mwandishi mwandamizi wa Michezo wa Ghazeti la Habarileo Zena Chande cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mwandishi mwandamizi wa Michezo wa Ghazeti la Nipashe Somoe Ng’itu cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa The Guardian on Sunday Fred Ogot cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Sahara Communication Star TV Tom Chilala cheti chake



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa The Guardian Joseph Kapinga cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Clouds FM Alex Lwambano



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa kituo cha Televisheni cha ITV John Lugendo cheti chake



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Ghazeti la Mwanasport Samson Mfalila cheti cha mahudhurio



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Ghazeti la Changamoto Chris Mwambonda



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi cheti Mhariri wa Michezo wa Ghazeti la Thisday Willie Chiwango



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten Peter Shadrack cheti cha kuhudhuria semina hiyo



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo(kulia)akiwakabidhi cheti cha shukurani Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector Foya (kushoto) Mtaalam wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (katikati) kwa niaba ya kampuni yao kwa kudhamini semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam.



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Ghazeti la Mtanzania Joe Beda cheti cha kuhudhuria semina



Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Ghazeti la Mwananchi Ibrahim Bakari cheti
Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mwandishi mwandamizi wa Michezo wa Ghazeti la Tanzania Daima Dina Ismael

































Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...