Wateja wa simu za mkononi wanaotumia namba za Vodacom, wakiwa kwenye heka heka za kusajili namba za simu zao kama walivyokutwa leo na John Nditi wa Globu ya Jamii wa Mji Kasoro Bahari a.k.a Morogoro ili kuwahi kabla ya zoezi la usajili kufikia tamati hapo Juni 30, mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...