Bi Rehema Mgombalo afisa wa kitengo cha elimu ya afya kwa umma akitoa maelezo kwa mwananchi alofika kutembelea banda la wizara katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma inayoendelea jijini mwanza Afisa habari Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii bi. Catherine Sungura akitoa zawadi ya vikombe vyenye ujumbe wa "MALARIA HAIKUBALIKI" kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kitangili katika banda lao
Afisa habari Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii bi. Catherine Sungura akitoa zawadi ya vikombe vyenye ujumbe wa "MALARIA HAIKUBALIKI" kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kitangili katika banda lao.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...