

kwa picha zaidi
BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KASSA MUSSA , NAONA UMEJIPENDELEA.
ReplyDeleteNDO INAVYOTAKIWA.
Ningesema ni makaratasi lakini kwa kuwa ni wamatumbi x 2 watakuwa wamefanya uamuzi wa dhati. Hongereni maarusi.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
MMMMMMMMMHHHH !!! MULIKUWA WAPI MIAKA YOTE?
ReplyDeleteKassa Mussa beki Kisiki wa Coastal Union miaka ile. Tanga ilikuwa Raha bwana...Hongereni maharusi kwa uamuzi mliochukua Mungu aidumishe ndoa yenu.
ReplyDeleteHivi hawa wamevaa sanamu au ni macho yangu?
ReplyDeleteKasa Mussa umenikumbusha mbali sana enzi zako ukiwa Coastal Union ("Mangush") pale Tanga. Kuna wapenzi walikuwa wakikuita "Freezer" kwa ule mtindo wako wa kuweka mpira kifuani kabla hujaangalia wapi utoe pasi... Enzi hizo mid-field ya Coastal ilikuwa na Ally Maumba vilevile....
ReplyDeleteMHHHH KWELI MLIKUWA WAPI?
ReplyDelete