Asamoah Gyan akilia baada ya kukosa penati na
baadaye timu yetu ya Ghana kutolewa kwa tutazzzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2010

    ghana should apologize to africanz.wewe unapiga penalt kama unampigia dada yako...pumbavu kabisa..wamejisahau kwamba walikuwa wamebeba africa nzima sio ghana pekee.

    ReplyDelete
  2. CHIBIRITIJuly 03, 2010

    Pole sana kwetu sote waafrika...ndo mambo ya mpira yanavyo kenda. Hata hivyo hongera sana kwa Ghana wamecheza vizuri sana, ila ndo hivyo mambo ya kuzidiana tu!

    CHIBI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2010

    Hakuna ku-apologise, kwani sasa inatakiwa FIFA wabadilishe sheria, kuwa mchezaji asiye golikipa akipangua kwa makusudi kwa mikono goli la wazi kama hili akiwa amesimama katika mstari wa goli, basi hakuna penalti wala nini, ni kadi nyekundu na goli la Ghana kuhesabiwa kama goli halali na Ghana kuondoka na ushindi wa 2-1 dhini ya Uruguay.

    England wamepiga sana kelele goli la Lampard lililovuka mstari na kuiwekea shindikizo FIFA kutumia teknolojia ili ushindi uwe mtamu.

    Sasa TFF, ZFA, CECAfa, CAF n.k kadhalika waanzishe shindikizo la hili gemu lizidi kupendeza.

    Mdau
    Montivideo, Uruguay.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2010

    wazungu hawakukurupuka kutufananisha na nyani! walitafakari kwa kina wakagundua hatujui tunatakiwa tufanye nini na katika mazingira gani?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2010

    unajua ni nani man of the match.its Suarez.kwa sababu yy ni kipa na mshambuliaji.Kwa maoni yangu fifa wabadilishe hii sheria iwe mtu ukidaka wakati mpira unaelekea golini liwe goli. Hiyo ndio haki

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2010

    Wewe nawe.....mbona nyie wabongo hamjafika kwenye world cup hata siku moja!!!!! at least wenzetu wamefika, tena wamefika mbali.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2010

    wewe acha papala! sidhani kama uliwahi kucheza mpira hata ule wa kamba! pale alicheza vizuri tu, na hiyo iliyotokea ni sehemu ya mchezo, you have to hit the target na wala siyo nguvu peke yake.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2010

    ghana shouldnt apologize to africans, ghana should apologize to ghanaians.
    if africans cared about african soccer egypt should have been in!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2010

    This is going to be the longest night for non-alcoholic Africans especilly Ghananian dudes

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 03, 2010

    nimesikitika jamaa alivyopaisha penati dakika ya mwisho ilikuwa waende kwenye semi maana nilijua south america wote ni wazuri kwa penati nilijua ghana watakwama tu hawajui kabisa kupiga penati jinsi alivyosimama unajua mguu anapeleka upande upi imesikitisha kwa kweli ni hafadhali wangefungwa bila kwenda kwenye penati tujue moja tu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 03, 2010

    Sasa hii ndo afrika ninayoijua mimi, sikutegemea miujiza au mabadiliko. This is afrika na hakuna cha kusema ni Mungu wala nini. Ni wachezaji wenyewe tu kutokuwa makini hata kwenye mambo ya maana. Sasa unakosa penalty ulidhani utapewa chance ya mara ya pili? chansi ya pili ilikuwa ni kwa wapinzani.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 03, 2010

    All Ghana needed was the initial penalty that it missed! Ila ndio hivyo tena, jamaa mara ya kwanza kakosa, ila mara ya pili kapata, sasa si angepata ile mara ya kwanza tu? Then tungekuwa twaongelea mengine!

    Ila jamani Uruguay noma! Duuuu! Yaani jamaa walipoona wamezidiwa pale mwishoni, ambapo goli lilikuwa linaingia, jamaa wa Uruguay katumia MIKONO kuu-punch mpira out of the goal! Duuuu! Utasema volley ball! Mi nadhani ingebidi wawe penalized kwa hilo kwa kunyang'anywa ushindi na badala yake Ghana ndio wangesonga mbele!

    Ila Ghana wapigaji penalty hakuna kabisa! Sijui kwa nini hawakumpanga yule jamaa PRINCE katika list yao ya wapiga penalties.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 03, 2010

    Aah duh! Juuust!

    Anyway ndio soka hiyo,

    Ila kuna mjadala ambao mdau kauanza na mimi niliwaza vivyo hivyo. Ziko hoja mbili.

    Moja nisheria hii ya penalty. Nadhani kuna umuhimu wa kuwa na aina ya penalt katika mazingira kama yale ya Ghana. Nina maana pale mtu anapozuia goli la wazi kuingia kwa hila, basi iwe penalt ambayo hata golikipa anakaa nje. inakuwa ni strika vs goli tupu. Maana kama jana golikipa alishapoteza maboya, na ule mpira wa kichwa wa Dominick Adiah ulikuwa unaenda nyavuni au la ugogenge mwamba. Kitendo cha kupiga penalty ambayo kipa anajipanga upya sio stahili, maana unarudisha chances kuwa ndogo ili hali iliyopotea ni kubwa. Hii itafanya dhana nzima ya mpira ni magoli, kama ambavyo tunaambiwa km refa hana uhakika na kosa anatakiwa ampe advantage yule anayefunga, sio anayezuia. (mfano mzuri ni kwenye offside trick).

    PILI: Ni pale mtu anachezewa rafu (mbaya) halafu madaktari wanakuja kumtibu, baada ya hapo eti yule aliyeumia anatakiwa aende nje aingie upya, ili hali yule aliyemuumiza anabaki ndani, na hii si stahili, aliyeumia anakaa nje timu yake inakuwa pungufu, aliyemuumiza anabaki ndani kucheza na inaweza kuipa timu yake advantage ya u-wingi.

    Wadau mnasemaje? Hii ni bora kuliko technolojia ya Goal line. Kwa hoja zangu hizo na kwa kuzingatia dhana ya FAIR PLAY. Fifa watazame upya sheria zao.

    Kwa mbaali naona Uholanzi na kombe, du wasauzi watachukia, kaburu (boers)anabeba kombe nyumbani kwao!

    Mdau Kiwoso
    Ukerewe

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 03, 2010

    Tatizo la huyu Asamoah ni ubishoo. Alijisahau kuwa yuko katika W.Cup na alikua na golden chance for Ghana. Hata mimi sielewi kwanini alipewa nafasi ya kupiga ile penalty. Uzalendo ulianza kunishinda mapema sana. Amekosa magoli ya wazi mara ngapi? Ameshindwa kutumia nafasi vizuri mara ngapi? Na machozi yake ya mambo hampati mtu. Yeye ndio kazamisha Ghana. Na mkorogo wake feki.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 03, 2010

    NAMPA POLE SANA GYAN NA WACHEZAJI WENZAKE. MIMI MWENYEWE KAMA MWAAFRIKA IMENIUMA SANA KUTOLEWA KWA GHANA KWA NJIA KAMA HII.
    ANYAWAY THIS IS FOOTBALL A CRUEL GAME.

    NEXT TIME IN 2014 IN BRAZIL WILL TRY AGAIN.

    URUGUAY WAO WATAPATA KIPIGO KIKALI SANA HAPO JUMANNE KUTOKA KWA AKINA ROBBEN WA UHOLANZI. NA WAO WATALIA SANA TU.

    MUNGU IBARIKI AFRIKA

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 03, 2010

    Suarez did a handball after the ball crossed the line, it didn't need to be a penalty at first place but a Goal..... but if it was for Ghana i hope Uruguay would have been given the goal and not the penalty. Poor officiating........
    Uruguay is my homeland but we didnt diserve to win this.

    Albert.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 03, 2010

    Refa katuua. Dakika zimekwisha hakukua na haja ya kumpa kadi nyekundu,angemuacha na goli lihesabiwe

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 03, 2010

    Jamani nyinyi muliokuwa nje ya uwanja ndio wachezaji mabingwa? Mbona Tz hamukufika hata nusu ya hapo?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 03, 2010

    Ghana walionekana kutojitahidi hivi hivi,hizo penalt mtu anampa mpira gkeeper wazii!Watu tumetaka kupata ugonjwa wa moyo!!Hebu mie niishangilie Spain..

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 05, 2010

    Guys,Najua mko so emotional kuhusu ile penalty ya Gyan.Lakini lazima mjue huu ni mchezo,saa nyingine kuna fine line kushinda ama kushindwa.

    Ghana wamepata penalty wameshindwa kufunga,pia wamepewa penalty 5 wameshindwa kushinda.

    Mimi nafikiri kuwa Ghana was the better team that day.Lakini haikuwa siku nzuri kwao kwani hata goal la Uruguay la kwanza sio goal la goal keeper kama Kingston kushindwa kuzuia.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 05, 2010

    Duh! Kuna watu wamepinda kupita upeo, eti kwa vile hakuna timu ya Tanzania WC basi tunatakiwa kufunga midomo hou ni upuuzi tena umetoka kwa mtu ambaye mpira si kitu anachokijua.
    Pamoja na yote, sheria ya mpira iko wazi, kuwa ukidakia mpira ndani ya mstari huwa ni goli, hata kama aliyedaka ni Suares, refa angewapa Ghana goli na kisha kumuadhibu Suares kwa uzito wa kosa. Chama cha Soka cha Ghana kina wajibu kuiambia FIFA juu ya kadhia hii ili kuangalia jinsi inavyweza kuepukwa baadaye.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...