Mpiganaji Amina Mollel, ambaye ni mtangazaji wa TBC, akipongezwa na JK kwa kutumia taaluma yake kuwasaidia watu wenye ulemavu kupitia vipindi vyake vya Shajara na Wape Nafasi. Baada ya kurusha kipindi chake ilimgusa sana JK ambaye alimchangia Sara Mageni wa wilayani Makete pikipiki ya Bajaji pamoja na shilingi milioni 2
Bajaji aliyopewa mama mlemavu Sara Mageni na JK
Sara Mageni ambaye ni mlemavu na anayelea watoto yatima 7 wa ndugu zake waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI.


MUNGU AKUBARIKI SANA DADA AMINA MOLLEL KWA KILE KIPINDI CHAKO CHA SHAJARA KWAN KIMEWEZESHA WATU MBALIMBALI WENYE SHIDA KUJULIKANA NA KUPATA MISAADA.NA MUNGU AKUJAALIE UPATE HIO NAFASI UBUNGE WA VITI MAALUMU ILI UWEZE KUWATETEA WEYE SHIDA.
ReplyDeleteHongera sana dada Amina, kazi yako inaonekana. Tunakuombea dua uingie mjengoni, inshaalah!
ReplyDeleteHawa ndo watu wa kufadhili siyo timu za mpira
ReplyDeleteSUBHANNA LLAH MUNGU MKUBWA.SAFI KAKA J.K ENDELEZA MOYO HUO HUO KWANI MALIPO YAKO KWA MWENYEZI MUNGU NA MATUNDA YA MOYO SAFI UONEKANA HAPA HAPA
ReplyDeleteHONGERA KWA UFADHILI WA HUYO DADA KWANI ANASTAILI KUONEWA HURUMA.
CHAFOSA CHAI GODA
MPILI WA MPILI