

makuu ya MultiChoice kitongoji cha Randburg nje kidogo ya Sandton
ankal akichambua mchezo wa kriketi na wadau toka zambia, msumbiji na ghana studio za MultiChoice
ankal akitembelea studio za kombe la dunia za MultiChoice
Most read Swahili blog on earth
ankal akichambua mchezo wa kriketi na wadau toka zambia, msumbiji na ghana studio za MultiChoice
ankal akitembelea studio za kombe la dunia za MultiChoice
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, kumbe waSauz nao wanajua Kiswahili? Maana naona hapo studio unachangia hoja kweli kweli!
ReplyDeleteHalafu huo mtungi wa kuzimia moto ulivyoushika, jumlisha na hiyo expression yako usoni, mie hoi.
Haya, pole kwa dhoruba.
Ankal haiitwi rehasal inaitwa drill...
ReplyDeletelakini naona wee funz o unalo ukaweza kukimbiza laptop wewew baaabu kubwa
Bibi alikwambia ile t-shirt itakulinda husikii...Haya yote kwa vile hukuvaa ile t-shirt.
ReplyDeleteankal acha kutuyeyusha,kriketi umejulia wapi?hata wanapocheza dar unapajua,haya mshindi alishinda kwa wicket au runs ngapi?je ni one day test au 20/20 ??
ReplyDeleteMichuzi ni comic kweli lol.
ReplyDeleteWeeee?! Don't tell me?
ReplyDeleteSo it was a false fire alarm?
Haya, twasubiri Manusura (kiukamilifu).
ankal, waambie Multichoice tunawapenda lakini waache kutulipisha subscription fee kwa kukokotoa kwa kufuata thamani ya dola, waweke ada (subscription)ambayo ni fixed.kama ujuavyo pesa yetu inaendelea kuporomoka kwa kasi na hivyo basi kila mwezi inabidi kulipa zaidi kadri shilingi inavyoshuka ili kupata huduma ya multichoice.
ReplyDeletemdau