Home
Unlabelled
banda la UDSM katika maonesho ya sabasaba 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama mwakilishi wa Waalimu mwenyewe hawezi kuongea tungo mbili za kiswahili bila kuweka maneno ya kiingereza kweli kiswahili kitakuzwa kwa kasi tunayoitarajia.
ReplyDeleteHi,
ReplyDeleteKaka vipi mbona MUCE hujawaonyesha? inamaana hawana umuhimumu? not fair
Kweli kabisa huyo mwalimu hakutakiwa kuwa hapo bandani maana ameonyesha ni jinsi gani anavyosaidi kuangusha kasi ya kukua kwa kiswahili. Kwani asitumie kiswahili sahihi bila kuongeza maneno ya kiingereza? ati teaching aid! degree bachelor of education! Haya maneno yana kiswahili chake jamani! natoa pole kwa waliomchagua kuwa bandani.
ReplyDeleteMdau N.America
Tatizo ni pale teaching aids zinatengezwa kwa ulezi na mpunga wakati mlengwa hajala @@@????+=><,,£££ bado wazee kazi tunayo.
ReplyDelete