wavunja mbavu maarufu Bi. Chau na 'mumewe' Mzee Saidi Small wa Ngamba wakifanya vitu vyao katika banda la Bakhressa Group of companies katika maonesho ya sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa road jijini Dar. Wavunja mbavu hawa wako katika gemu muda mrefu na hawaoneshi kutaka kuchoka karibuni
wavunja mbavu maarufu Bi. Chau na 'mumewe' Mzee Saidi Small wa Ngamba wakifanya vitu vyao katika banda la Bakhressa Group of companies katika maonesho ya sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa road jijini Dar. Wavunja mbavu hawa wako katika gemu muda mrefu na hawaoneshi kutaka kuchoka karibuni

mzee small hazeeki ama kweli hebu twambie anakula nini? ni mboga tu au kuna mazoezi ya aina gani manake mi niko najiona mzee kushinda mzee small.
ReplyDeletehawa ndio watu tunaopenda kuwaona, kipaji cha kweli, sio nyie mkilipwa kidogo basi kunyanyasa wenzie tu.
nawafagilia sanaaaaaaaaa. sio hawa wachekeshaji wa saa hizi mpaka ujikamue utumbo ndio ucheke. hawa na wakina king majuto loooooool wananiachaga hoiiiiiiiiiii
ReplyDeletekiwanja cha mwalimu nyerere,barabara ya mwalimu nyerere,uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere nini tena tumebakisha?
ReplyDeleteHawa ni wasanii wa ukweli, fanya mambo mzee small, hongera
ReplyDeleteChuo Mwalimu Nyerere.
ReplyDeleteAnonymous wa tatu hapo 7.30 am, umesema kweli!! Yaani serikali imezidi. Hata shule zingine tumesoma tukiwa wadogo sasa hivi eti zinaitwa Mwl Nyerere Shule ya ____________. Yaani unashindwa hata kuendeleza uhusiano na hiyo shule.
ReplyDeleteKumuenzi huyo baba ni kwa vitendo, si kuharibu kila kitu kwa kuvipa jina lake.
Bado tu wananchi wote tuambiwe tutumie jina la ukoo la NYERERE, au nchi iitwe the Republic of NYERERE!!
tumebakisha watanzania wote kutumia nyerere kama sir name
ReplyDeleteBanda la Mwl. Nyerere
ReplyDeleteBenki ya Mwalimu Nyerere
ReplyDeleteMwl. Nyerere Tower
ReplyDeleteNyerere Government
ReplyDeleteNyerer Party
Nyerere Telecommunication
Nyerere Hospital
Nyerere Blog
NYERERE!!!!!!!!!!
Those who are taking this name for granted please give respect. Maana kama kungekuwa na uwezo wa yeye kurudi na kukataza kutumika kwa jina lake hivyo nafikiri ingesaidia. NYERERE NYERERE.... HE IS GONE...LET US CONTINUE WITH OUR LIFE.
Nakubaliana na mdau mwa mwisho.Tanzania Tubadilike.
ReplyDeleteBaba Nyerere Hospital mwe...! mbona haiji...!! hebu tuirekebishe kidogo.
ReplyDeleteHon. Nyerere World Cup...! Hata hii imekataa...!!!
Mlimani City Nyerere Baba...... Hii nayo.....! Haya wee!!
Mwisho : Tuntufye Mwakabibi Nyerere
: Manka Mushi Nyerere
:Olais Lowaasa Nyerere
Duh.... na wewe malizia hayo mengine kuwa mbunifu sio kuiga ya wenzio tu...!! @Kimaro Nyerere
ridhiwan nyerere
ReplyDelete