Mgombea ubunge wa Musoma mjini kupitia CHADEMA Vicent Nyerere akisalimiana na mmoja wa wafuasi wa chama hicho wakati wa ujio wa viongozi wao wa juu mjini Musoma
Vicent Nyerere akimkaribisha mwenyekiti wake Mh. Freeman Mbowe, na viongozi wengine Mgombea urais wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa
akiongozana na uongozi wa juu wa chama hicho baada ya kuwasili Musoma
Mji wote unasimama
Dr Slaa akimtambulisha mgombea wa CHADEMA wa kiti cha ubunge Musoma mjini





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2010

    Ni nyerere kambarage au nyerere mwengine?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2010

    Nyerere atapita tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2010

    chadema bana,nyie kila anayekuja mnamkubali tu na kumuachia agombanie ubunge,wengine ni vibaraka wa ccm,watahawahujumu,sijui ccj,mara mabere marando,mara mr 2 na bifu lake,chama kitakufa kama nccr mageuzi na tlp,igeni mfano wa CUF,huingii tu kisha ni maarufu,lazima ufate kanuni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2010

    Kila Mtanzania mpinga ufisadi ana wajibu wa kumuombea Dr. Slaa kura 6 na hao 6 wakatafute kura 6.

    Mwaka huu ufisadi should go to hell.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2010

    misupu hawa chadema mbona wameiba rangi yetu cuf ya bendera,bendera ya chadema ilikuwa ni light blue peke yake.mbona kila kitu wanatak kuwa kama cuf,wasituige bwana,sisi ni chama kubwa.haki sawa kwa wote

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2010

    kweli ccm wahuni,yani yule muhindi sabodo alotoa milioni mia moja kwa chadema,nasikia amewamwagiwa ccm hela ya ajabu,duh siasa mhezo mchafu.wadanganyika wanaingia kichwa kichwa eti dr slaa for presidet,mtu keshanunuliwa.huyu ndo atakuwa wa kwanza kukubali ushindi wa kishindo wa JK.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2010

    jamaa kajipaka rangi ya nyumba,hizi nyie watu mnajua madhara yake,

    ReplyDelete
  8. Musoma ni ya Chadema japo C C M wamepanga kwa Lazma kupora Ushindi ila najua Mungu atasimamia na tunaopenda Haki basi tuungane na wana wa Musoma katika kulinda na Kutetea Ushindi Nyerere Wanamkubali na ana ushawishi mkubwa sana Musoma

    ReplyDelete
  9. ni kweli naskia huyu kijana ni mtu wa watu sana mie nilimfamu Face book na naskia ana busara na maneno makali yanayogusa hasa katika Status zake Facebook mie ni C C hapa Dar ila namkubali Nyie mliopo Musoma kazi kwenu mchagueni huyo Nyerere

    ReplyDelete
  10. Chadema bwana,mgombea wa urais anatembea mkoani kutafunata wadhamini? kwanini vijana wa chadema wasifanye kazi hiyo?
    ndio maana kamanda wa ffu ras,ktk mahojiano yake na redio free afrika juzi,kampa credt zote JK 2010,angalieni sasa mpaka mwanamziki kakomba wafuasi wenu wa Mwanza kwa kutumia mziki

    ReplyDelete
  11. Watu wengine ni utuumbo mtupu.RANGI na chama vina uhusiano gani?eti chadema wameiba rangi?
    Chama ni sera sio rangi.
    KIAZI WEWE.

    ReplyDelete
  12. sasa wewe unayezungumzia kukombwa kwa wafuasi wa chadema na mziki wa ras makunja,lazima uelewe kuwa mziki una nguvu kuliko siasa,pia yale mahojiano ras makunja inaelekea alijipanga kwa nia ya kukomba wafuasi wa upinzania mwanza,mimi nimefuatilia kipindi kile kila ras kila hoja aliyokuwa anazungumuzia alikuwa ana malizia na kuwavuta watu upande wa JK,nikagundua kuwa sio mwanamziki tu bali anayo farasafa fulani kichwani na kipaji cha kuwavuta watu,pale ikawa wasikilizaji hawana jinsi lazima wamfuate

    ReplyDelete
  13. hivi haya magwanda wanayovyaa viongozi wachadema ni uniforms au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...