Ningependa kuwapatia watanzania wote fursa ya kujua mtanzamo mpya wa serikali ya Tanzania Kutoka kwa Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe kuhusiana na Uraia pacha( Dual Citizenship) Waziri Membe alisema hayo wakati wa mkutano wa Diaspora uliofanyika hapa London 26-27 March 2010.
Home
Unlabelled
diaspora UK 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ivi Membe na JK ni ndugu??? mbona wanafanana sana?
ReplyDeleteFilm nzuri,Hongera kwa wote walio andaaa :)
ReplyDeleteMampambano ya maendelea ya nchi yetu lazma yawe nje na ndani.Kupambambana kwa kutumia kona mbalimbali,kuna watanzania wengi ambao wanheshimika nje ya nchi na sasa ni wakati wa kushirikiana ili tuweze kuingiza nchi yetu katika Mpangilio mzuri wa usasa (USASA) ndio unaotumiwa na nchi Zilizoendelea duniani kwa sasa,na umepangwa tokea miaka ya 1918,kwa hiyo tunakazi ndugu zangu na tunaweza kama Obama aliweza.Yes we can,Mungu ibariki Tanzania na Dunia kwa ujumla