"Zee entertainment inawaletea show ya uzinduzi wa Album ya \msanii Mackaruffin kutoka Jamaica,
show itaanza saa nne ucku.. Dj Kdee and Zee will blaze!hip hop na bongo flavor!
Watu kibao wataibuka, na wewe usikubali kupitwa kwenye show hii, au siyo.
Itakuwa ni LIVE band Raggae& Dancehall za ukweli! na Mastaa kibao watakuwepo.
Entry ni 1500 Yen one drink free.
Venue: B&G ACCESS.
DATE: 31/7/2010
TIME:10:00.... night

"TUKUTANE WOTEEEE"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...