MAMA JOYCE KALLAGHE, MKE WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA(MWENYE NYEUSI, KATI), MH. PETER KALLAGHE ANAYEHAMIA LONDON. AKIAGANA NA CANADIAN INTERNATIONAL WOMEN GROUP NA WAKE WA MABALOZI AMBAO AMEKUWA AKIFANYA NAO KAZI ZA KUSAIDIA WATOTO WALEMAVU NA KUSAIDIA MIRADI YA MAENDELEO YA KINA MAMA TANZANIA.
MAMA KALLAGHE (WA PILI SHOTO) AKIWA NA BAADHI YA KINAMAMA WA UMOJA HUO




Kulipendeza na mlipendaza kisawa sawa. hongera zenu.
ReplyDeleteKweli ukienda Roma, basi na yafanywe yale wafanyavyo Waroma, hiyo mikofia mashallah....
ReplyDeletemke wa balozi kapendeza haswaaa safi sana imetulia
ReplyDeleteIf our UK events looked like that then i would attend!!
ReplyDeleteAuntie mimi naona ungependeza sana kama ungevaa boubou za kiafrika na kuheshimika zaidi kuliko hizo kofia za kikoloni. All the same nakutakia wewe na familia yako kila la heri. Mwanao "Afro-centric".
ReplyDeleteUmetulia Madame Joyce Kallaghe, mtu wa watu, ukaendeleze libeneke London. Kofia hizo zimenimaliza jamaniiii.
ReplyDelete